UNYUMBA per SHIKAMOO

kabye

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
355
39
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta

CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa kupata ONE-toto.

Je, wf ikosawa au laa maoni.

Note: mwisho mwadada anakipato kuliko jamaa yake, Justwhy? jamaa kaja na anaishi naye uyu dada but everythings jamaa anapewa kuanzia MATUMIZI adi MAUPWIKS AU UNGWIDU!!!!

kuhamia kwa mwanamke hakuna cha ajabu, mfano mwanamke amejenga, mkang'ang'anie kupanga ili yu nyumba iwe ya mwanaume? La hasha kwenye mahusiano kuna kusaidiana ndanu ya nyumba, ndo faida ya kuwa wawili. Kama mwanamke hali inaruhusu kwa nini asimsitiri mwenza wake?

Kuhusu kuamkia, kama ndo utaratibu wao hakuna cha ajabu,maana anaamkiwa yule mwenye umri mkubwa, kama mwanamke mkubwa asiamkiwe?
 
WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}

mi ninaona jamaa anateseka kinoma.

ingekuwa wewe je?
 
Hayo ni mapenzi yao, wakati wanakubaliana nadhani wewe haukuwepo, hivyo sioni sababu ya kumuonea huruma.
Pili kama jamaa anamwamkia demu wake kwenye macho ya watu, wakati wako kwenye majamboz huko ndio zamu ya mama kumuamkia mwanaume, shughuli ya kitandani si mchezo unaweza kuwatusi hata wazazi wako.
Hasa ukimpata mjuaji wa hayo makitu.
 
Pili kama jamaa anamwamkia demu wake kwenye macho ya watu,

mkuu; Uju jamaa mala nyingi uwa anamwamkia uju demu mbele za watu......., masela wana cheka kinoma.

je inge kuwa wewe unge weza kumwamkia demu yako mbele zawatu?
 
Hayo ni maisha yao.......... Hakuna aumiae hapo....

WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}

mi ninaona jamaa anateseka kinoma.

ingekuwa wewe je?
 
Nimeamini maneno yote katika post.... Ila nimeshindwa kabisa kuamini kua huyo mwanaume anamuamkia mkewe. Kabye mie ninavoelewa na yale nimeona kwa macho yangu; vijana wa kulelewa na mwanamke ni watoto wa mjini...Wale ambao ni wajanjaaa. Na kijana wa mjini ambae ni mjanja na analelewa, atafanya kila kitu kwa huyo mwanamke lakini siamini kama atamwamkia.... Dah! sipo huko mtaani lakini niko tayari kubisha.

BTW, Jamani huo uandishi ndio nini kututesa hivo?
 
Si kingereza tu, lugha na uandishi yanaanza kuwa matatizo makubwa sana ya kitaifa.

Serikali itangaze hali ya hatari.
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Dah,kuna tatizo kubwa sana JF these days.
Natamani likizo yangu irudi tena.
 
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta

CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa kupata ONE-toto.

Je, wf ikosawa au laa maoni.

Note: mwisho mwadada anakipato kuliko jamaa yake, Justwhy? jamaa kaja na anaishi naye uyu dada but everythings jamaa anapewa kuanzia MATUMIZI adi MAUPWIKS AU UNGWIDU!!!!

Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
 
WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}

mi ninaona jamaa anateseka kinoma.

ingekuwa wewe je?

So unbelievable! Naungana na AshaDii kubisha. Hivi ndo anaamkiaje? Shakmoo mpenzi? Shkamoo sweetie? Jamani lol!
 
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Dah,kuna tatizo kubwa sana JF these days.
Natamani likizo yangu irudi tena.
Subiri baadaye yule Political loser arudi kwenye ile thread yake ya kudeclare defeat na mapovu mdomoni hata report abuse itakuwa hakuna atapiga simu moja kwa moja kwa mods.
 
Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
Ndio ameanza Graphic course kwenye vyuo vya pale Kariakoo...
 
Nimeamini maneno yote katika post.... Ila nimeshindwa kabisa kuamini kua huyo mwanaume anamuamkia mkewe. Kabye mie ninavoelewa na yale nimeona kwa macho yangu; vijana wa kulelewa na mwanamke ni watoto wa mjini...Wale ambao ni wajanjaaa. Na kijana wa mjini ambae ni mjanja na analelewa, atafanya kila kitu kwa huyo mwanamke lakini siamini kama atamwamkia.... Dah! sipo huko mtaani lakini niko tayari kubisha.

BTW, Jamani huo uandishi ndio nini kututesa hivo?

Ninacho sema uwa nina maanisha 'AshaDii'. this is true story, we acha tu, ninoma kumuamkia mkeo
..coz jamaa ana kitu so ndiyo maana ana bembeleza kwa SHIKAMOO by Dearly.
 
Si kingereza tu, lugha na uandishi yanaanza kuwa matatizo makubwa sana ya kitaifa.

Serikali itangaze hali ya hatari.

WEWE una utindili wa akili si bule.

kama mada ujaielewa sepa acha majungu....utaliwa 'SAMVU YA KOPO'

Similar Discussions

Back
Top Bottom