UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Utalii limetoka ripoti yake ya mwaka 2023.

Kwenye ripoti hiyo ,Tanznaia imetajwa kwenye Nchi 10 Zilizofanya Vizuri Kwa Kuvutia Watalii wengi Kwa mwaka 2023.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

---

International tourism receipts reached $1.4 trillion in 2023, according to preliminary estimates.

BEST PERFORMING DESTINATIONS IN TERMS OF RECEIPTS

View attachment 2944368

1. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ Serbia: +79%

2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan: +77%

3. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey: +59%

4. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania: +48%

5. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal: +38%

6. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ Mauritius: +36%

7. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco: +34%

8. ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ป Latvia: +33%

9. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania: +28%

10. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico: +24%

Europe, the world's most visited region, reached 94% of its 2019 levels, supported by intra-regional demand and travel from the United States.

Africa recovered 96% of pre-pandemic visitors, and the Americas reached 90%.

Asia and the Pacific reached 65% of pre-pandemic levels following the reopening of several markets and destinations.

However, performance is mixed, with South Asia already recovering 87% of 2019 levels and North-East Asia around 55%.

---

My Take
Waliombeza Rais Samia wakati anaigiza Filamu ya Royal Tour saizi wanaona aibu na wanakosa Cha kusema.

Hongera sana Rais Samia.Kwa taarifa yenu huo ni Mwanza tuu,ngoja mwezi wa 4 ataachia Filamu nyingine itakuwa bab kubwa.

On top of that Kuna Uboreshaji wa Miundombinu ya Utalii kwenye Kanda ya Kusini unaendelelea vikiwemo viwanja vya ndege na Barabara.Vikikamilika basi Tanzania itakuwa ni giants wa Utalii wa Afrika.

View: https://www.instagram.com/p/C48FtKToHvo/?igsh=MWh1aHhmNm53aWFqZw==

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1760956672229474792?t=VhK9GcHZfWXLHj5LJDl6YQ&s=19
 
Hizi data za performance zina mislead. Ni kama data za kukua kwa uchumi zioneshe kuwa uchumi wa Mozambique umekua kuliko wa Uingereza.

Katika top tourist destinations duniani, hatupo.

Hiyo performance inakuja baada ya kuongezeka Kwa wasafiri.

Pia usisahau kwamba Tanznaia ni namba 5 Afrika kama most visited Country.
 
Kwani hatujafanya vizuri?

mkuu unaanzaje kusema sisi tunafanya vizuri? kuna nchi zinaingiza watalaii mpaka milioni 20 kwa mwaka sisi hata milion mbili tunashindwa kufika.
Kwa kifupi ni aibu kabisa, moja ya nchi inayoongoza kwa vivutio vingi vya utalii halafu bado tupo hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom