Unusual cravings!

Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
751
1,331
Salaam wana JF. Recently nimekuwa nikitamani sana kula udongo.Since I am not pregnant, I was wondering if it's something that I should be concerned about and/or need to seek medical advise for.

NOTE:
1. Sometimes these cravings are so intense, to the extent
that inabidi nichovye kidole ardhini,every now and then nilambe
 
Ushauri ni kama ifuatavyo
angalia kama kweli huna mimba then nenda kacheki BRT, Unaweza kuwa na iron deficiency anemia
sin uhakika saana maana hiyo ni dalili ambayo haijitosherezi.
so nenda hospitali
 
Rodcones
Nashukuru, kwa ushauri. I hate going to the hospital, but I guess I have to..........:A S cry:, if say I start taking
Iron supplements, will that be harmful if Iron deficiency turn out to be not the issue?
 
Nenda kapime....Alafu inawezekana una minyoo!
 
Ushauri ni kama ifuatavyo
angalia kama kweli huna mimba then nenda kacheki BRT, Unaweza kuwa na iron deficiency anemia
sin uhakika saana maana hiyo ni dalili ambayo haijitosherezi.
so nenda hospitali
Hiyo ni moja ya dalili zake???Mi nilishtukia tu siku moja nimepata kizunguzungu cha ajabu....
 
Salaam wana JF. Recently nimekuwa nikitamani sana kula udongo.Since I am not pregnant, I was wondering if it's something that I should be concerned about and/or need to seek medical advise for.

NOTE:
1. Sometimes these cravings are so intense, to the extent
that inabidi nichovye kidole ardhini,every now and then nilambe

mimi najua kiswahili tu,kama wewe ni mzungu andika kizungu mwanzo mwisho
huku kuchanganya lugha kuna nichefua
 
Hiyo ni moja ya dalili zake???Mi nilishtukia tu siku moja nimepata kizunguzungu cha ajabu....

Ahsante Lizzy.I guess itanibidi niende Hospitali, I never knew it can be this serious'
 
heri yako unatamani,mwenzio nakula almost kila wiki,sina mimba wala iron deficiency....na nakunywa supplement na dawa za minyoo kila mwezi,sijui ni kwanini kwa kweli? na ofisini kwetu tuko kama wanne tunakula udongo,yaani wikiendi tunaaagizana kabisa,ukienda sehemu fulani uje na udongo.....ngoja leo nipate suluhisho!!
 
Usiache kula udongo, nasikia inasaidia ubongo na misuli ya ulimi kunata na maneno hasa ya kizungu. We huoni ulivyo juu kwa Ngeli?
 
heri yako unatamani,mwenzio nakula almost kila wiki,sina mimba wala iron deficiency....na nakunywa supplement na dawa za minyoo kila mwezi,sijui ni kwanini kwa kweli? na ofisini kwetu tuko kama wanne tunakula udongo,yaani wikiendi tunaaagizana kabisa,ukienda sehemu fulani uje na udongo.....ngoja leo nipate suluhisho!!

No kidding, it's good to hear I am not alone..........maana kila mtu ninamwambia anang'ang'ania ni mimba na wakati I know better!
 
heri yako unatamani,mwenzio nakula almost kila wiki,sina mimba wala iron deficiency....na nakunywa supplement na dawa za minyoo kila mwezi,sijui ni kwanini kwa kweli? na ofisini kwetu tuko kama wanne tunakula udongo,yaani wikiendi tunaaagizana kabisa,ukienda sehemu fulani uje na udongo.....ngoja leo nipate suluhisho!!

Umepagawa na jini Jujan linalosababisha watu kula udongo yanayotoka lango kuu la kuzimu la Mustallah upanga Dsm. Tiba yake ni bure na haizidi dk.15

https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/106954-biashara-ya-uchawi-tanzania-4.html
 
Sometimes soil-eating is more than just a physiologically induced behavior; it is a rich cultural practice. It could just be like those who eat coins, paint, soap or other non-food items. But eating clay may also cause it to absorb toxins in your body. Soil is nature's multi-mineral supply. Same toxins in the soil can lead to poisoning as well. It may simply be that women who has this craving are more likely to survive and pass on this tendency to their offspring. If symptoms persist, consult your doctor.
 
Hii ndo naisikia leo!

Minyoo au upungufu wa chuma mwilini yaweza kuwa sababu lkn inaweza kuwa addiction Kama addiction nyengine?

Mara ya kwanza ulikula udongo lini?

Naamini sitapata addiction wala hamu hiyo kwa vile sijawahi taste udongo umekaaje au?
 
heri yako unatamani,mwenzio nakula almost kila wiki,sina mimba wala iron deficiency....na nakunywa supplement na dawa za minyoo kila mwezi,sijui ni kwanini kwa kweli? na ofisini kwetu tuko kama wanne tunakula udongo,yaani wikiendi tunaaagizana kabisa,ukienda sehemu fulani uje na udongo.....ngoja leo nipate suluhisho!!

Mimi mwenyewe nakula sana huo udongo, huku kwetu tunaita pemba, sina matatizo yoyote kama alivyoyaainisha Michelle, maybe na mimi leo nitasaidika
 
mimi najua kiswahili tu,kama wewe ni mzungu andika kizungu mwanzo mwishohuku kuchanganya lugha kuna nichefua
mi nikishaga onaga izi mixing akili yangu huingiliwa virus!! hapo memory na mtindio woote wa ubongo wangu uvurugika! sipendi na sitokaa nipende !!!!
 
Back
Top Bottom