Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

Nakubaliana na mleta mada... wamepeleka tena Architecture pale ilihali sifa za kufundiisha course hiyo hawana... kiufupi hakuna maandalizi....

Chuo cha UDSM nadhani kimebaki jina.... course nyingi ni outdated so wanatafuta namna watakayoweza kuvutia wanafunzi kuja UDSM
Sasa watu watakuja ooh UDSM architecture inazidi ya ARDHI na MUST mbeya la msingi unawaangalia na unasubiri kwenye soko la ajira
 
Wakuu kuibeza UDSm ni sawa na kuibeza Nchi yako, asilimia 99,ya wasomi wa nchi hii na East Africa na Africa kwa Ujumla ni udsm, nenda kwenye ranks ya vyuo bora Africa udsm ni ya 4, kwa hiyo kuwa makini acha siasa za mitaroni, kama kweli wewe unapiga Md njoo na sababu zinazojitoshereza kuonyesha kwa nn udsn haifai kuwa na course ya MD.
 
Na kama hupigi MD ukae kimya, mtaishia tu kutusimulia historia hvohvo.
 
Whatever lakini kama kuna makosa yaendelee kwasababu ni UDSM tatizo watu wakiambiwa ukweli wanaanza Mara hooo wewe wivu kisa hujachaguliwa hapana kuikosoa UDSM no mojawapo ya misingi mizuri ili iweze kuendelea kutoa best products kama MD yao haifai lazima isemwe jiulize kwanini UDSM haipo kwenye vyuo bora Africa wakati zamani ilikuwepo ni kwasababu ya madudu haya Medicine siyo kua na majengo wakati hospital wala wakufunzi buna. Nataka serikali iifungie ili iikumbushe next time wajipange vizuri. We all know UDSM is the best but again whenever there is a problem ni vyema wakaelezwa hata kwa ukali il I waendelee na ubora wao
 
Na kama hupigi MD ukae kimya, mtaishia tu kutusimulia historia hvohvo.
Akusalimie nani unajikuta unajua kupiga hiyo MD unajiona Mali tens first year wakati wengine kitambo u tushamaliza hayo mambo ya Anatomy, physiology, biochemistry n.k na second year pathology, pharmacology, microbiology, immunology, virology na ma DS tishauwa sasa hivi ni pediatrics, surgery, gynaecology and obstetrics, rotation wodini and the likes

N.B usimdharau usiyemjua you are not better or smart than each and everyone you piece of a shit kajisalimie wewe na hicho ki MD chako!!!! Mitoto mingine bwana ninamashaka na ufaulu wako and your teachers will be disappointed to read such threads from the student they taught
 
Apo kutana na mzee mmoja anaitwa mr Pratap anagonga non stop masaa 5,,, japo yuko vzur ila kiukweli UDSM -MD jicho la tatu paangaliwe
 
Kwani UDOM imefungiwa kwa sababu gani
Yaan sawa hata kama kuna sababu zilizopelekea UDOM kufungwa wakati serikali ill mwaga waalimu kutoka Russia na China pale kufundisha na matatizo yapo lakini imagine unafungiaje UDOM na kuacha chuo kikuu cha UDSM safe kwa mano wakati wore tunajua kua lecturers ni tatizo au kwa kua kina pesa na saui
 
Na kama hupigi MD ukae kimya, mtaishia tu kutusimulia historia hvohvo.
Kwamba hatupigi MD haituzuii kuizungumzia. Kwamba hatuifahamu UD pia haituzuii kuizungumzia and vice versa. Ubishi hapa ni uwezo wa UD katika ufundishaji etc wa MD. Ningependa kuamini kuwa TCU na Baraza la Madakitari la Tanganyika pamoja na Senate ya UD vimejiridhisha na utayari na mipango ya UD katika hili. Hata hivyo UD ni chuo cha umma na itabidi wajenge uwezo wao over time haina mantiki kuwalinganisha na MUHAS ingawapo ukiwapa muda "wanaweza" wakawa washindani wao. Hatujui undani wa yaliyowasibu UDOM -tusionozwe na hisia tutalumbana bila facts. Kama UD kunatitizo unalifahamu funguka hii inaweza kuwasaidia. Tukitetea pia tutumie facts zinazosimama-kusema UDSM ni baba wa MUHAS ni kweli lakini haisaidii kuelezea ubora wa UD kwenye kukidhi utoaji program ya MD.
 
Akusalimie nani unajikuta unajua kupiga hiyo MD unajiona Mali tens first year wakati wengine kitambo u tushamaliza hayo mambo ya Anatomy, physiology, biochemistry n.k na second year pathology, pharmacology, microbiology, immunology, virology na ma DS tishauwa sasa hivi ni pediatrics, surgery, gynaecology and obstetrics, rotation wodini and the likes

N.B usimdharau usiyemjua you are not better or smart than each and everyone you piece of a shit kajisalimie wewe na hicho ki MD chako!!!! Mitoto mingine bwana ninamashaka na ufaulu wako and your teachers will be disappointed to read such threads from the student they taught
Umeelewa ulichoandika lakini? umejitahidi kuorodhesha topics lakini
 
Hivi kuna data naweza angalia summary ya ushindi wa form six 2016, labda unataka kujua waliopata div I, II, III ..... ni wangapi. Hii inaweza kusaidia kujua wapi uombe kulingana na ushindi wako.
 
Hua wanatangaza waliopata one kadhaa, two kadhaa na three kadhaa
 
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi ni hiyo course ya MD hapo UDSM. Wamezuiwa kutumia hospital ya muhimbili wanasema wanafunzi watapelekwa mbeya jaman Ndalichako usimuogope Mukandala kwakua alikua mwalimu au VC wako hapakaziTu. Dhihirisha kama kweli umekomaa katika uongozi MD ya pale no jipu wanaosoma Medicine wanaelewa nazungumza nini
UDSM haitokei degree ya MD. Labda ulinamaanisha MUHAS ambao wanatumia hospital ya Muhimbili. Kwa taarifa yako tu, hiki ndicho chuo kilichotoa watumishi wengi kwny sekta ya afya! She will never do that even if the government does not want the university to use the hospital.
 
Othaws kuwa na sababu nyngne ya kufungia vyuo hivyo but kwa md ya udsm , we are doin good
 
UDSM haitokei degree ya MD. Labda ulinamaanisha MUHAS ambao wanatumia hospital ya Muhimbili. Kwa taarifa yako tu, hiki ndicho chuo kilichotoa watumishi wengi kwny sekta ya afya! She will never do that even if the government does not want the university to use the hospital.
Asee enda kaendelee na shughuli zako tu, huelewi hata kinachoendelea huku duniani.
 
Back
Top Bottom