Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi ni hiyo course ya MD hapo UDSM.
Wamezuiwa kutumia hospital ya Muhimbili wanasema wanafunzi watapelekwa Mbeya. Jaman Ndalichako usimuogope Mukandala kwakuwa alikua mwalimu au VC wako, hapa kazi tu. Dhihirisha kama kweli umekomaa katika uongozi.
MD ya pale ni jipu, wanaosoma Medicine wanaelewa nazungumza nini.