Hebu fikiria kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa,je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo au ungekuwa kama kipi kati ya hivi?
(a) chandarua
(b) chujio
(c) wavu
(d) chekecheo
ningekuwa na tundu moja tu kama kizibo cha penKwa wingi wa zambi zetu nahisi matobo yangezidi mpaka kufikia kuwa TOBO MOJA KUUUBWA.