Ungejibuje?

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
0145.jpg
 
Hahahahahaahaaaaaa :)
Kwanza ntaichuku kwa upooole kutoka kwake, then ntamuuliza amesolve vipi hiyo ishu yake maana yawezekana hajaua wala kujeruhi mhusika wake labda tuu amemtishia..

Kitafuata kichapo ili aniambie nani kampa authority ya kuichukua hiyo itasaidia next time asirudie kuichukua.

Hizo incidents naogopaga sana na ndo maana siruhusu hata housegirl kuingia chumbani kwangu though i always keep it deep in briefcase.
 
kumbe unamuogopa hata mtoto wako???
ukimchapa the next time akiibahatika tena si itakuwa zamu yako??
 
nina wasiwasi ni kichapo gani utakachompa mtoto anaehamua kusolve issue zake za shule kwa gun, next time akiiba itabidi asolve tatizo atakalokuwa nalo then asolve tatizo la kuepuka kuja kupigwa, guess what he will do!! hyo keshakuwa mtu mzima mimi nitaipokea kwa unyenyekevu then nitamkanya baada ya some days atulize mzuka kwanza
 
kumbe unamuogopa hata mtoto wako???
ukimchapa the next time akiibahatika tena si itakuwa zamu yako??

duhh watoto wetu hawa bwana, balaa tupu,sasa akibahatika kuipata ili amalize tatizo la kuchapwa namzazi ndio soooooo
 
mambo ya kuchukua haki elimu hayo......................dingi kacharuka kaenda kummaliza kiaina.......ila babu kesi anayo maana silaha yake imetumika kwenye mauaji..........wale wenye silaha tujitahidi kuzitunza vizuri................
 
Hapo pagumu je kama kaenda kumkung'uta mwenzie huko school duh ila hapo pamebana
 
ningekuwa mimi ningemkamata na kumpeleka polisi kwa kuniibia silaha yangu...................
 
mkuu hadi siku hizi una hulka ya kumpiga mwanao?? umesoma enzi za ukoloni nini.kwani kuongea naye tu bila kumpiga haitoshi.mbona mimi mwanagu simpigi na sijawahi kumpiga lakini tunaiva vizuri na shule inamuendea vizuri tu msikrem toka kwa wazazi wenu kuwa bakora ndio solution kwa mtoto
 
ningemfumua kwa nyuma na silaha aliyoileta afu ningesema polisi kuwa kajilipua....................
 
Back
Top Bottom