Ungefanyaje kama mzazi wako wa kike angekuwa na tabia hizi.

teh teh teh!!! gfsonwin umenfurahshaje thatha!! wengine wanapenda uuri lakin gharama hawapend!!

my dearst princess enny asikwambie mtu uzuri bana gharama. yaani miye nimeamua kuwa natural kwani najua simudu gharama za kuagiza ma fair and white original ama manjano ya kihindi. sasa wanaofanya kuchamba kwa michakachuo ya kicongo ndo hapo sasa waweza kulia ukiwaona wengine halafu ukute wamepata ma fangas ya uso lol! yaani huwaga naona kama kuku wa kisasa hasa wa nyama wanaonyonyoka nywele matakoni.
 
Last edited by a moderator:
wa mikorogo
wala mi ctumii mikorogo!! na hata kama ningekuwa natumia basi nsingetumia hyo nliyoitaja hapo yan cheap mkorogo!! wengi ujiharibu badala ya kujpendeesha!! na ndio maana hata kakamwisho akaona wanakuwa kama sanam lamichelini!!
 
my dearst princess enny asikwambie mtu uzuri bana gharama. yaani miye nimeamua kuwa natural kwani najua simudu gharama za kuagiza ma fair and white original ama manjano ya kihindi. sasa wanaofanya kuchamba kwa michakachuo ya kicongo ndo hapo sasa waweza kulia ukiwaona wengine halafu ukute wamepata ma fangas ya uso lol! yaani huwaga naona kama kuku wa kisasa hasa wa nyama wanaonyonyoka nywele matakoni.
wengine cjui ndio hawataki kuachwa nyuma!! unakuta mtu mweusiiiiii kajichubua usoni mwili wote mweusi!! khaaaa!!!
 
wengine cjui ndio hawataki kuachwa nyuma!! unakuta mtu mweusiiiiii kajichubua usoni mwili wote mweusi!! khaaaa!!!

khaa! hivi wewe huwajui pepsi mirinda? yaani hawa huwa wanatia kinyaa sana aisee yaani acha tu. ila cha ajabu kuna wakaka nao wanapaka haya ma karolite nao wanakoboka usipime tena huu kwenye nddevu ndo usiseme manake wanakuwa kama ****** ya nyani kinda lol! shame to them.
 
Back
Top Bottom