unga walishe kwa watoto wadogo

Mangolo

Member
Oct 30, 2011
28
11
Waheshimiwa miye ninataka kuanzisha mradi wa kutengeneza unga wa lishe kwa watoto wadogo nimetafiti soko lipo la kuridhisha tu,nafaka zote zipo masokoni tatizo langu ni jinsi gani yakuchanganya hizi nafaka kwa uwiano gani nipate kitu sahii kwa watoto .akina dada hawanyonyeshi siku hizi nataka kuwasaidia kwa njia hii
ASANTENI
 
Kama una muda tembelea ofisi za SIDO utapata mambo yote huko.Jamaa ni wataalam wa mambo ya nutrition pia.

good idea. na mimi ninawazo la kununua mashine ya kusaga unga wa muhogo halafu na paki vizuuuri.
mna idea ya soko lake jamani?
 
Back
Top Bottom