Unene mwingine balaa!!

Wakuu kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba katika hali ya kawaida sehemu au tundu lolote hata liwe dogo kiasi gani kama kichwa kikiweza kupenya basi na mwili mzima utaweza kupenya. sasa kwa kuangalia hii picha najiuliza kama hoja hiyo ni ya kweli au la. Nazungumzia kichwa cha juu jamani sio kile kingine!
 
Huyu hapa hamumuoni bado??

attachment.php

natafuta mchumba kama huyo....
 
Wakuu kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba katika hali ya kawaida sehemu au tundu lolote hata liwe dogo kiasi gani kama kichwa kikiweza kupenya basi na mwili mzima utaweza kupenya. sasa kwa kuangalia hii picha najiuliza kama hoja hiyo ni ya kweli au la. Nazungumzia kichwa cha juu jamani sio kile kingine!

aaa wapi mwenyewe napinga ila kuna maumbo mengine kichwa kikipita basi mwili wote unapita ila siyo huyo kaka mpaka kero.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom