Undumila kuwili wa Zitto kwa mujibu wa Stella Manyanya

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Live toka bungeni kumbe Zito alishauri mkataba wa Richmond uvunjwe na ndo uyo uyo akashauri mitambo iyo iyo inunuliwe.
Wenye kumbukumbu fresh ebu tukumbushane Zito alishauri inunuliwe au itaifishwe?
 
alishauli inunuliwe, na laiti tungeinunua tusingekuwa tunapata hasara kama tunayoendelea kuipata, kiukweli richmond inaendelea kwa jina jingine, pesa ni zile zile tunazowalipa na mitambo ni hile hile
 
Zitto alitoa ushauri wa namna toufati, na ushauri ni ushauri tu. Waweza kukubaliwa au kukataliwa. Zitto hajatumia madaraka vibaya bali alitumia uhuru wake. Tusimwandame mtu kwa chuki tu au kwa wivu tu. Sasa hata maoni imekuwa undumilakuwili? Je hao wanatumia madaraka yao kuifilisi nchi tunaowatetea tuseme ni nini hiyo?
 
Kwa hiyo Stella Manyanya anataka tuamini mkataba wa Richmond ulivunjwa kwa sababu Zitto alisema uvunjwe? Either Stella Manyanya anaugua ugonjwa wa kutoelewa mbele wala nyuma au amekodishwa kusema chochote ili imradi anapata maslahi kama huo ukuu wa mkoa aliopewa.

Kama ccm na serikali yake wamekuwa wanapokea 'maagizo' ya Zitto kwa nini bado hawajaanza kuwa na gold reserve kwenye bank yetu kuu kama alivyopendekeza Zitto? Kwa nini serikali haijabalisha mfumo wa kodi kwa makampuni ya madini (windfall tax) ili kuipa nchi faida inayotokana na kuongezeka kwa bei ya madini i.e gold kwenye soko la dunia? Inakuwaje serikali inachaua ushauri mmoja tu wa kuvunja mkataba na sio mambo mengine aliyoshauri Zitto tena yenye manufaa makubwa kwa taifa kupita Richmond? Kiherehere cha Stella Manyanya kinatia kinyaa! trully!
 
Umeongea vema! Umetumia busara.
Zitto alitoa ushauri wa namna toufati, na ushauri ni ushauri tu. Waweza kukubaliwa au kukataliwa. Zitto hajatumia madaraka vibaya bali alitumia uhuru wake. Tusimwandame mtu kwa chuki tu au kwa wivu tu. Sasa hata maoni imekuwa undumilakuwili? Je hao wanatumia madaraka yao kuifilisi nchi tunaowatetea tuseme ni nini hiyo?
 
huyu mama bado anasumbuliwa na zimwi la lowassa, hata wakati anaongea hilo alionyesha dhahiri kusumbuliwa na mafisadi kwa jinsi wanavyoendelea kumsumbua hasa kutoka ndani ya chama chake
 
Huyu mama hana ubavu wowote wa kumshutumu Zitto.Kinachomsumbua huyo mama ni roho yake mbaya
 
Zitto ali SHAURI yote mawili wakati wa Dowans -Itaifishwe au inunuliwe, Chaguo lenu! Huyo Stella Manyanya alishauri lipi?
i am just curious kujua stella aliwahi kutoa ushairi wowote bungeni.. zabda jinsi ya kulinda wauwaji na kuziba njia kwenye nymba zao
 
Mazezeta ya ccm ndo yalivyo. Yanataka kumbambikia lawama zito kwa upuuzi wao. Hii mijitu ya ccm mpaka tuanzishe sheria za kuwanyonga kama china ndo watapata akili.
 
Live toka bungeni kumbe Zito alishauri mkataba wa Richmond uvunjwe na ndo uyo uyo akashauri mitambo iyo iyo inunuliwe.
Wenye kumbukumbu fresh ebu tukumbushane Zito alishauri inunuliwe au itaifishwe?

Una uhakika na kauli zako?
 
Huyo changu hana jipya,mbona hazngumzii suala la kutaifisha??alitoa mapendekezo zaidi ya mawali sasa hilo la kutaifisha huyo demu yeye halioni wala halimgusi..zito ni mtu makini huyo mwanamke hata aunganishe ukoo wake wote hatoweza kupata hata robo zito,haya ndio matatizo yakupeana madaraka kama njuguu lazima ujipendekeze kwa alie kutunuku,hata akikosea badala ya kumkosoa unamfsifia kumbe unamharibia.shame on u manyanya.
 
mh! All I know Zitto is just one of member of NA and as far as I know NA and Parliament for that matter have no decision on that issue but executive arm. Why not ask executive people who actually did it?
 
Live toka bungeni kumbe Zito alishauri mkataba wa Richmond uvunjwe na ndo uyo uyo akashauri mitambo iyo iyo inunuliwe.
Wenye kumbukumbu fresh ebu tukumbushane Zito alishauri inunuliwe au itaifishwe?

Naungana mkono na mh. Zito kabwe mana kwa kawaida cost za kukodisha mitambo iyo ni kubwa kuliko serikali ingeinunua.
Kwanini tukodishe?
Bora ipi hapo?
Manyanya kawa MASALO(NYANYA ZILIZO O..A)
 
Back
Top Bottom