Undumila kuwili WA TFF ya Wallace Karia

kastro

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
1,011
627
Huyu bwana na time yake walituaminishay kuwa Hakuna kuahirisha mechi Zach ligi kuu. Na Kweli klabu ya Yanga walilazimishwa kucheza mechi zao za CAF huku wakipangiwa ratiba tight ya ligi kuu lakini kwa time yao kipenzi mikia FC mkurugenzi WA bodi ya ligi bwana wambura anakuja na porojo etc timu zikiomba TFF inabidi iwasaidie hapa Lengo ni kuibeba mikia FC.

Na njama za wazi na za Siri (overt and covert) kuihujumu Yanga Tayari zimeanza (michezezo ya ligi kuu ule dhidi ya kagera pale kaitaba na ule dhidi ya prison pale sokoine) Lakini mama WA mshangao WA yote ni pale chama cha mpira kinapoamua kufanya kazi kwa maelekezo ya serikali kinyume kabisa na maagizo na kanuni za FIFA .

Iweje TFF hao hao waliokubaliana na uamuzi wa Yanga kumtambua Manji Kama mwebyekiti wao wafanye kinyume na kauli yao kisa serikali?

He BMT ndiyo inaendesha TFF? Halafu FIFA wakitupiga ban sijui Karia Na Mchungahela watasemaje ? Please Mr Karia enough of the Simbanization of the Association !
 
TFF U-Simba na U-Yanga hauwezi kuisha. Umeisahau TFF ya Malinzi ilivyokuwa biased kwa kuipendelea Yanga?
 
Back
Top Bottom