Uncovered: TANGOLD`s secret 10bn/- stash of cash

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Uncovered: TANGOLD`s secret 10bn/- stash of cash

THISDAY REPORTER
Dodoma

THE shadowy company TANGOLD Limited, whose shareholders include ex-attorney general Andrew Chenge and deceased ex-Bank of Tanzania governor Dr Daudi Ballali, has more than 10bn/- stashed away in its bank accounts that has remained untouched for several years now.

This was revealed in parliament on Monday evening by Kigoma North Member of Parliament Zitto Kabwe (CHADEMA), who said the secret billions were part of proceeds from the Buhemba Gold Mine in Mara Region.

Debating the 2009/10 budget proposals of the Ministry of Energy and Minerals, the MP called on the government to safeguard the cash stash in TANGOLD’s bank accounts and also take steps to protect the mine itself, which has reportedly become the victim of frequent acts of vandalism for lack of care.

According to past THISDAY findings, at least one bank account known to be maintained by TANGOLD is at the National Bank of Commerce Limited Corporate Branch in Dar es Salaam.

Zitto, who is also chairman of the parliamentary public corporations accounts committee, sought explanations from the government as to why the Buhemba mine had been abruptly abandoned despite being assessed in 2003 to have reserves of at least 65 tonnes of gold within.

He said government intervention is imperative to rescue the mine’s abandoned assets.

’’At the time this mine was shut down, it had already produced five tonnes of gold,’’ he told the House.

Noting that the presidential mining sector review committee chaired by Justice Mark Bomani recommended in its final report that the government should take over the Buhemba mine, the Kigoma North MP was critical of the government’s slowness in taking up this proposal.

’’The Bomani report recommendations regarding the Buhemba mine are similar to the Kiwira coal mine situation. But the fate of the Buhemba mine continues to be ignored,’’ said Zitto, who was himself a member of the mining sector review committee.

He supported suggestions that the Buhemba mine be handed over to the State Mining Corporation (STAMICO), saying TANGOLD’s two mining licences for the Buhemba area should also be transferred to STAMICO.

’’If the mine has run out of gold, plans should be made to properly close down the facility, to avoid environmental hazards,’’ he added.

The Buhemba gold mine was literally abandoned in 2005/06 after its previous owner, Meremeta Limited - a joint venture project owned on a 50-50 basis by the Tanzanian government and a private South African firm called Trinnex (Pty) Limited - filed for bankruptcy.

TANGOLD Limited, which was registered as an offshore company in Mauritius in April 2005, took over all assets and liabilities of the liquidated Meremeta Ltd, including the Buhemba mine.

Although the Ministry of Energy and Minerals claimed at the time that TANGOLD was 100 per cent-owned by the Tanzanian government, it has since transpired that the company does not appear on the list of government parastatals maintained by the Treasury registry in Dar es Salaam.

Apart from Chenge and Ballali, other listed shareholders of TANGOLD are past and present permanent secretaries Gray Mgonja (ex-Treasury), Patrick Rutabanzibwa (presently at home affairs ministry) and Vincent Mrisho (ex-defence ministry).

Amongst other strange things, it is stated in the company’s articles of association that the shareholders may transfer shares (or have shares transferred in case of their demise) to their spouses, parents, children, grandchildren, sons-in-law and daughters-in-law.

The government has attempted to impose a gag order in parliament blocking MPs from discussing the Meremeta/TANGOLD issue in the House ostensibly because the matter involves ’’official military secrets.’’

However, legislators from both the ruling CCM and opposition camp have refused to be silenced and have continued to push for answers from the government on the whereabouts of billions of shillings pumped by the Bank of Tanzania into Meremeta/TANGOLD.

Investigations by THISDAY have long established that BoT paid $13.34m (approx. 17bn/-) into a bank account under the name of TANGOLD Limited located at the NBC Corporate Branch in Dar es Salaam soon after the company was established.

This came on the heels of another BoT payment to a foreign bank account, amounting to over $118m (approx. 150bn/-), to liquidate a loan issued by a South African bank
to the now-defunct Meremeta Ltd.
 
Jamani ni lini hizi issue walau zitapungua kwenye macho na masikio yangu??? Everyday linakuja... Too much tooo much someone has to help jamani??????????
 
Amongst other strange things, it is stated in the company’s articles of association that the shareholders may transfer shares (or have shares transferred in case of their demise) to their spouses, parents, children, grandchildren, sons-in-law and daughters-in-law.

Hivi ndiyo viongozi wetu wamekuwa wakiitafuna nchi kwa mtindo wa kurithishana mali zetu. We must do something about this...
 
Oweni au kuolewa na watoto wao. Simple and clear.....

Mkishindwa basi pelekeni wanenu kwa wajukuu zao.....
 
Oweni au kuolewa na watoto wao. Simple and clear.....

Mkishindwa basi pelekeni wanenu kwa wajukuu zao.....
Bahati mbaya elimu yao na yawanetu havi match...confidence level za wanangu ni sifuri wakisikia longolongo za watoto hao kwa kimombo you know!!!.
 
Oweni au kuolewa na watoto wao. Simple and clear.....

Mkishindwa basi pelekeni wanenu kwa wajukuu zao.....

Watu kama wewe hamna nia njema na nchi yetu. Ushauri wako ni kuoa kwa mafisadi ili kuendeleza ufisadi. Nakusikitia sana, si ajabu nawe umeneemeka kwa namna moja au nyingine na ufisadi na ndiyo maana unaweza kutoa kauli za hovyo hovyo. Mwenyezi Mungu akusaidie na fikira zako potofu.
 
Nilimwangalia Mkapa kwenye picha siku ile Nyerere akitangaza vita dhidi ya Idd Amini alionekana Mnyenyekevu kweli. Kumbu ni wa kuogopwa kama ukoma! Aliyoyafanya baada ya Nyerere kufa yananitia shaka kama alimpenda mwalimu japo kwa asilimia 25 tu! Sasa naamini usemi huu: THE ART OF AN ASSASSIN IS TO DRAW THE VICTM CLOSER; IT MAKES THE STABING EASIER" (Salman Rushdie). For sure jamaa alijiweka karibu mno na mwalimu mpaka mwalimu akakosa kumsuspect. Imagine Mramba alivyokuwa karibu na mwalimu.Mfikiries Kingunge....hutakaa uamini.
Lakini kitu kimoja ni cha kweli: One day they will throw the whole lot like Yuda did. If not them, then their family. Time will tell
 
Watu kama wewe hamna nia njema na nchi yetu. Ushauri wako ni kuoa kwa mafisadi ili kuendeleza ufisadi. Nakusikitia sana, si ajabu nawe umeneemeka kwa namna moja au nyingine na ufisadi na ndiyo maana unaweza kutoa kauli za hovyo hovyo. Mwenyezi Mungu akusaidie na fikira zako potofu.

BAK,

Hunifahamu wala sikufahamu. Sasa haya ya kusema mie na ufisadi ni wapi na wapi? Wakisoma hii watu wanaonifahamu, watacheka sana kuwa mie nimenemeeka na Ufisadi. Na maneno hayo yanatoka kwa Mkuu BAK. Mkuu BAK heshima yako iko juu sana. Uwe unasoma between the lines.

Kwa heshima hiyohiyo leo sintakuPARAMIA. Ila mie nilikuwa nina maanisha hii PROVERB ya Kiingereza isemayo "If you can't beat them, join them"

BAK, ikija tokea uko anga za Sikonge, basi niBEEP nikulete hadi kwangu. Ukitoka hapo useme kama nimeneemeka na ufisadi au laa. Have good day.
 
Haya ndiyo mambo serikali ya kifisadi ya Kikwete haitaki yajadiliwe na badala yake wanataka watu wajadili mahakama ya kadhi, kuigeuza nchi kuwa ya kiislam na uonevu wa wakatoliki.

Shame on you ..... mnajijua wenyewe.
 
Bahati mbaya elimu yao na yawanetu havi match...confidence level za wanangu ni sifuri wakisikia longolongo za watoto hao kwa kimombo you know!!!.

Jamani, wasaidieni wanenu wawe active katika nyanja tofauti. Wawe wanaimba kwaya, washiriki michezo, pamba zao ziwe safi, wajengeeni imani kuwa na wao wanaweza kitu. Siyo akija toka shule akisema baba nimekuwa wa pili, wewe hata husikilizi unaenda zako kura bia.

Siku moja moja wabebeni sehemu mnazokwenda (halahala kwenye baa). Kama unafanya biashara, nenda naye aanze kujua kuuza bidhaa/ kutangaza.
Nakumbuka matukio kadhaa mie na marehemu mzee, tulikuwa tunauza bidhaa za ovyo na pembeni jamaa ana bidhaa zake safi hadi mie mate yananitoka. Mzee alianza KU-RAP na tukauza mapema na kwa bei nzuri tu huku yule jamaa mwenye bidhaa safi na bei chini akibaki na bidhaa zake.

Hapa ilishasemwa juu ya mkwe wa Kikwete. Mtoto wa Kikwete alikuwa na Ma-Gfs wengi. Wengi walienda naye kitandani kwa kutegemea kuolewa. Huyu mkewe akawa anamgomea kwa muda mrefu, na mwishoni ndiyo yeye akaolewa. Labda kuna haja akina mama wakawa wanawapa masomo watoto wao kuwa "mwanangu, bei yako unapanga mwenyewe...".

Ndahani, mengine ni BAHATI tu ya mtu. Mwanao anaweza kutokea akawa mchezaji mpira mkali hata shule hakuenda (mfano Thabeet), na hapo walah nakuambia mtoto wa Lowasa/Mkapa/Kikwete/Chenge/Mramba etc watamlilia machozi. Na yeye ndiyo atakuwa anawatolea nje kama siyo kuwapanga mmoja baada ya mwenzake.
Dr Remmy aliimba, kama unajua kucheza dada, utapelekwa Ulaya....
 
Jamani ni lini hizi issue walau zitapungua kwenye macho na masikio yangu??? Everyday linakuja... Too much tooo much someone has to help jamani??????????

Kwisha kwa hizi issue ni kuwa na serikali transparent iliyo faithful to the People of the United Republic of Tanzania. isiyokuwa na sera za, umwenzetu na kulindana. Yenye watu wenye wivu na uchungu wa maendeleo ya nchi na si maendeleo binafsi, yenye vyombo vya dola vilivyo huru na vinavyotenda haki pasi kuangalia sura ya mtu wala nafasi yake serikalini au katika chama tawala.

Serikali hii inawezekana kama tu tutaendeleo kuziibua hizi issue kila kukicha na kuzifanya kuwa public badala ya kuleta visingizio vya "usalama wa taifa"-kitendo kinachoashiria woga wa hali ya juu wa kushughulia haya matatizo. Na hapa namlenga Pinda na Bosi wake JK, - if they can not stand the heat why remain in the kitchen?, si wawapishe wapishi wengine kama wao wanaungua?.
 
BAK,

Hunifahamu wala sikufahamu. Sasa haya ya kusema mie na ufisadi ni wapi na wapi? Wakisoma hii watu wanaonifahamu, watacheka sana kuwa mie nimenemeeka na Ufisadi. Na maneno hayo yanatoka kwa Mkuu BAK. Mkuu BAK heshima yako iko juu sana. Uwe unasoma between the lines.

Kwa heshima hiyohiyo leo sintakuPARAMIA. Ila mie nilikuwa nina maanisha hii PROVERB ya Kiingereza isemayo "If you can't beat them, join them"

BAK, ikija tokea uko anga za Sikonge, basi niBEEP nikulete hadi kwangu. Ukitoka hapo useme kama nimeneemeka na ufisadi au laa. Have good day.

Mkuu pamoja na kuwa hatufahamiani lakini sikubaliani na hiyo kauli yako ya kuwajoin mafisadi. Kuwajoin mafisadi ili iweje hasa!? Kuendelea kufaidi utajiri mkubwa tuliojaliwa Watanzania na watu wachache waliojivalisha "ngozi ya uongozi" kumbe ni mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka?

Mimi naamini hakuna sababu yoyote ya kuwajoin mafisadi au kuoa watoto wa mafisadi ni lazima tupambane nao na ikiwezekana kuwatenga katika jamii yetu ili kuhakikisha ushindi kwa watanzania walio wengi.

Ufisadi uliokwishafanywa hadi sasa ni zaidi ya shilingi Trilioni na nusu. Fikiria pesa kama hiyo ingelekezwa katika kuboresha mishahara ya wafayakazi, kuboresha mashule yetu ambayo mengine hayana hata hadhi ya kuitwa choo, kuboresha hospitali zetu ili kuhakikisha hakuna Mtanzania anayelala chini anapokuwa mgonjwa au kutakiwa kushare kitanda au godoro na wagonjwa/wajawazito wengine hadi saba wakati mwingine, kuboresha huduma muhimu kama kupatikana maji safi, umeme n.k. lakini wapi!!! Mafisadi wanataka kukupukua kila kukicha ili washindane nani ni Tajiri mkubwa kuliko mwingine na mwenye majumba mengi ya kifahari, magari ya kifahari etc ndani na nje ya nchi. wanaishi maisha kama ya wacheza sinema wa Hollywood huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika maisha ya umaskini wa kutisha. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Tuwe waangalifu katika kauli zetu hasa katika kipindi hiki ambacho nchi yetu imegubikwa na ufisadi ambao hatujawahi kuona tangu tupate uhuru miaka 48 iliyopita.

Jioni njema Mkuu Sikonge.
 
If you have the report.. u can even pinpoint where this money came from!

Kweli? Na zilikwenda kwendaje kwenye akaunti za hawa majizi?

MM, kwakuwa ninaithamini kazi yako, nitakupa mchango ambao utazidi hiyo $30. Si lazima unitumie ripoti. Tutawasiliana.
 
Mkuu pamoja na kuwa hatufahamiani lakini sikubaliani na hiyo kauli yako ya kuwajoin mafisadi. Kuwajoin mafisadi ili iweje hasa!? Kuendelea kufaidi utajiri mkubwa tuliojaliwa Watanzania na watu wachache waliojivalisha "ngozi ya uongozi" kumbe ni mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka?

Mimi naamini hakuna sababu yoyote ya kuwajoin mafisadi au kuoa watoto wa mafisadi ni lazima tupambane nao na ikiwezekana kuwatenga katika jamii yetu ili kuhakikisha ushindi kwa watanzania walio wengi.

Ufisadi uliokwishafanywa hadi sasa ni zaidi ya shilingi Trilioni na nusu. Fikiria pesa kama hiyo ingelekezwa katika kuboresha mishahara ya wafayakazi, kuboresha mashule yetu ambayo mengine hayana hata hadhi ya kuitwa choo, kuboresha hospitali zetu ili kuhakikisha hakuna Mtanzania anayelala chini anapokuwa mgonjwa au kutakiwa kushare kitanda au godoro na wagonjwa/wajawazito wengine hadi saba wakati mwingine, kuboresha huduma muhimu kama kupatikana maji safi, umeme n.k. lakini wapi!!! Mafisadi wanataka kukupukua kila kukicha ili washindane nani ni Tajiri mkubwa kuliko mwingine na mwenye majumba mengi ya kifahari, magari ya kifahari etc ndani na nje ya nchi. wanaishi maisha kama ya wacheza sinema wa Hollywood huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika maisha ya umaskini wa kutisha. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Tuwe waangalifu katika kauli zetu hasa katika kipindi hiki ambacho nchi yetu imegubikwa na ufisadi ambao hatujawahi kuona tangu tupate uhuru miaka 48 iliyopita.

Jioni njema Mkuu Sikonge.

Mkuu BAK,

Fuatilia POST zangu za nyuma na kutoka hapo amua unitupe kapu gani.

Vinginevyo angalia sahihi yangu au maneno kwenye AVATAR.

Hebu angalia MATAIFA makubwa yanavyoidhoofisha OIC kwa kujiunga nayo.

Na Saed Kubenea
HOJA ya kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC) huenda ikazikwa mjini Dodoma mwishoni mwa wiki, MwanaHALISI limegundua.
Taarifa kutoka Riyadh, Saudi Arabia; London, Uingereza; na New York, Marekani; zinasema kuingia kwa mataifa makubwa katika umoja huo kumezua utata na migogoro ambayo "imetibua hadhi ya OIC ambayo wengi walitaka kujiunga nayo."
Taarifa za kibalozi na mashirika ya habari zinasema, hata hivyo, kwamba wimbi la kutaka kujiunga na OIC limepungua nguvu kutokana na ushindani wa mataifa makubwa kujipenyeza kwenye taasisi hiyo, wengine wakihofu kwamba ni kwa "shabaha ya kuudhoofisha."
Awali nchi masikini na zile zenye uchumi wa kati zilijiunga na jumuia hiyo kwa malengo ya kupata misaada mbalimbali, wakati mengine yalitaka kujitambulisha nayo kwa misingi ya madhehebu ya Kiislamu.

from: Gazeti la MwanaHALISI
 
Last edited:
Back
Top Bottom