Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

nampenda, mpenda nani?,
kijana mmoja, nani?
ana macho madogo? nani?,
ni .........., malizieni! khaaaa umenikumbusha mbali! na turinge bayoyo, nimewafundisha wanangu, khaaaa wanatakaje sasa tukatike wote mpaka chini, khaaaaaa!

hahaaaaaaa.... haha ndo hapo mpka utakatika nao... mamie me mpaka saiv napenda michezo ya kitoto hwua naacheza na mpnz watu smtym yan inanogaje!
 
Jieleze jieleze,
jieleze jieleze,
jieleze jieleze ntajieleza mama,
Mimi hapa ni Madame,
Mama yangu ni Salima
Baba yangu ni Kikwete.
nshajieleza mama.

Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.
 
Jieleze jieleze,
jieleze jieleze,
jieleze jieleze ntajieleza mama,
Mimi hapa ni Madame,
Mama yangu ni Salima
Baba yangu ni Kikwete.
nshajieleza mama.

Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.
Hujambo Cheupe?
 
teh teh mie huu hapa sasa sasa saa yakwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooooo mi meno yatoka ka niin kwa furaha. Na mwingneeeeeee aaaaaaaahh upi uleeeeee aahaa huu hapa bana asiyependa shule ni mjinga kabisa asiyependa shule ni mjinga kabisa barua ikija twaitembeza kutwa barua ikija twaitembeza kutwa huyohuyohuyo ni mjinga kabisaaaa. Aiyayayaaaa kindumbwendumbwe chalia kindumbwendubwe chakua kikojoz nanguo twaitia moto na ndan kuna viroboto hiloooo.tehteheeeeee walikua wanakoma vikojoz
 
Madame B tena ukiwa unaimba huo wimbo unajibetuaje? unaringa ringa afu unatikisa kiuno lolest. . .

Yani hapo ni full mauno kwa kwenda mbereee!!
Wavulana walikuwa wanakomajeee enzi hzo pale Forodhani..!!!
Dah!
Natamani nirudi utotoni jama.

Charm shost we enz hzo shule gani?
Yani n'likuwa natamani saa 7 isifike haraka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom