Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?
Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.
Je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?
Nawasilisha kwa mjadala.