Unaweza ukajipatia Ajira...!!!

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Ni wazi kwamba unaweza kujipatia ajira kwenye makampun ya simu, kama utaweza hili swali...

How many 5 digit telephone number can be constructed using the digit 0 to 9 if each number start with 67, for example 67125 etc, and no digit appears more than once??

Haya sasa bro BAGAH, ERICK B52, kimbilieni, najua KONIE Kipawa nyanja hizi...
 
Dogo naona unataka kutuaibisha kaka zako....
Ngoja kwanza tujadiliane ni mara ngapi....
Nakuja
 
Unamaanisha katika namba moja digit isijirudie au katika namba zote 5 digit isijirudie?anyway ngoja nitry..
67243, 67510, 67891, 67352, 67438..
 
Unamaanisha katika namba moja digit isijirudie au katika namba zote 5 digit isijirudie?anyway ngoja nitry..
67243, 67510, 67891, 67352, 67438..

ndio namba isijirudie, ni hvohvo mkuu bt how many arrangement will be??
 
FIVE POSITION TO BE COVERED
let say ¤ ¤ ¤ ¤ ¤
if the 1st position is covered by 6 and 2nd by 7, then 3rd will be covered by 8 digit, 4th by 7 digit and 5th by 6 digit , then we multiply those position, ie

1x1x8x7x6=336

there will be 336 arrangement...
 
Back
Top Bottom