Unaweza kuta jamaa wa kataa ndoa akiwa anaadika nyuzi zake yupo sebuleni anakula chakula alichopikia na mkewe!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Sikulazimishi kuoa, ila sio kuwa easily taken na maneno ya kiufundi ya mtandaoni bila ya kujua asili ya kweli ya huyo anaepost.

Hata hawa jamaa wa "Tafuta hela wewe" wengi unakuta wapo vijiweni wanasubiria kahawa na visheti vya 200 amalizie siku huku akijipiga tafu na bando la Vodacom.

Acha kuoa kwa misingi muhimu na imani iliojitoshereza huku ukiwa na back up plan jinsi gani ya kuishi katika dunia hii inayo amini katika misingi ya ndoa.

Sio tu kukupuruka kufanya uamuzi kutokana na vimaneno vya JF. Maana huyo anaeandika kataa ndoa unaweza kuta mke wake anamfulia boxers zake kila siku.

Kama hauwezi tafuna, mumunya, ukweli ndio huo.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa miaka hii malaya sana wameshatombwa sana na bado atagawa hata ukimuoa

Ya nini ulipie mahari na kuandaa harusi kwa mamilioni ili kumweka ndani malaya kama mke

Na bado mkitalikiana sheria ya ndoa itampa malaya sehemu ya mali zako

Na bado huyo malaya ulikuwa unamtunza kama mke pesa yake ni yake. Pesa yako na mali zako vya wote

Kataa ndoa
Ndoa ni utapeli

Kataa ndoa
Tunza kibunda chako
 
Wewe ndio njia kuu
 
Back
Top Bottom