Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika siku zake bila kupata mimba? Na sababu ni nini?

mi naomba kuuliza unaanza kuhesabu ukimaliza brd siku inayofuata au unaanza kuhesabu siku hiyo utakayomaliza brd ndo inakuwa ya kwanza then mi sielewi kama ninamzunguko mrefu au mfupi coz mez wa 3 niliingia date 21 na wa 4 date 21 ila wa 5 ikabadilika nikapata date 26 inakuwaje hapo
unaanza kuhesabia cku ya kwanza ya bleed
 
Mimi nimeshindwa kuelewa mtoa mada nini hasa alikuwa amedhamiria kutuhadithia hapa nashindwa kucomment
 
Ingawa si ustaarabu kufanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake, pia kiimani ni haramu (naweza kusahihishwa) LAKINI Kufanya mapenzi na mtu akiwa kwenye siku zake hakuna uwezekano wa mtu huyo kushika mimba kwa sababu kwanza yai linakuwa limeshakufa na pili ukuta ulojijenga kusubiri kuotesha mtoto nao hubomoka na ndio husababisha kutoka damu during menses.

Mwanaume anapokaa muda mrefu bila kufanya mapenzi ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutungisha mimba kwa sababu mbegu zake huwa nyingi za zilizokomaa vyema.

Matatizo ya mbegu yanaweza kuwa kiasi cha mbegu, yaani chache - oligospermia - au hazipo kabisa -azoospermia, lakini pia mbegu zaweza kuwa na abnormal shape au hata motilitiy na hivyo kusababisha matatizo kwenye urutubishaji wa yai.

Vyanzo vya matatizo ya mbegu viko vingi, kutaja vichache ni magonjwa ya korodani - kama uambukizo wa vimelea vya mumps, kuzidi joto kwenye korodani kwa mfano wale watu wanaofanya kazi kwenye mazingira ya joto ya muda mrefu au wale ambao mishipa ya damu kwenye korodani itavimba (Varicoceles) na kusababisha damu kuongezeka na hivyo kuongeza joto. Uvutaji wa sigara na matumizi ya dawa za kulevya pia kunaweza kuathiri quality au quantity ya sperms. Upasuaji kwenye korodani au wa hernia husababisha kuharibu njia za usafirishaji wa sperms. Yapo pia matatizo ya kuzaliwa ambayo huathiri utengezaji wa mbegu au kutokuwepo kabisa kwa mashine za kutengeneza mbegu. Saa nyingi vivimbe kwenye ubongo vyaweza kusababisha mfumo wa hormones unaosaidia utengenezaji wa mbegu kuharibika hivyo kuharibu utengenezaji wa mbegu.

Nakushari nenda hospitali upate vipimo, utatibiwa kulingana na tatizo litakaloonekana.
Kwa maana waliofanyiwa operation ya hernia ngiri wapo kwenye hatar ya kuto kutungisha mimba?
 
Back
Top Bottom