Unawakumbuka Hawa ni Kina Nani!:

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
494074902.jpg

Gamal Abdel Nasser, Julius K. Nyerere, Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Kenneth Kaunda, Patrice Lumumba, Haile Selassie, nwar Sadat Keneth Kaunda... na... wengine
 
Naamini huyu ndiye aliyekuwa kiongozi bora kabisa wa Afrika
ambaye wananchi wake wataanza kujuta siku si nyingi kwa
kuondoka kwake!
 
Naamini huyu ndiye aliyekuwa kiongozi bora kabisa wa Afrika
ambaye wananchi wake wataanza kujuta siku si nyingi kwa
kuondoka kwake!
Unafahamu misingi ya utawala bora au umeamuwa kujifurahisha? Kufadhili magaidi na kujenga misikiti hili kwako ndio kipimo cha kiongozi bora?
 
Katika kazi zote, siasa ina muda na wakati wake. Nivyema kujua jinsi ya kuzichanga vyema karata. Viongozi wenzako wanaweza kukupenda kutokana na misaada unayowapatia kufanikisha mambo yao lakini wananchi wasikukubali kutokana umewasahau au unawabagua. Gaddafi alijitahidi sana kwa kuwa aliiona nafasi ya kuitawala africa kama kiongozi mkuu wa kwanza endapo afrika ingefika lengo la kuungana. Tatizo kashindwa kuzima moto uliokuwa ukivuma chini kwa chini muda mrefu. Upande mwingine alishindwa kuwafurahisha watawala wa dunia akaingizwa kwenye kundi la wasiohitajika kwenye kada ya watawala. Jeuri ya mafuta imemponza.
 
ghadafi ni shujaa wangu mwingine kama ilivyo kwa idd amin dada.ila makosa yao yanafanana na mipango yao ina walakini.
mimi nawaamini katika kuzali wakiwa mashujaa ila tatizo ni mifuma waliyoipitia,ghadafi angekuwa kipenzi cha waafrika kama angefanya yafuatayo na kuacha yafuatayo.
1.angetafuta kuiunganisha afric wa mipango ya kisiasa na kiuchumi.
2.angeimarisha umoja wa africa badala ya kuubomoa.
3.angeachana na umoja wa nchi za kiarabu.
4.angeachana na ndoto za kifalme kwa karne hii.
5.angelea watoto wake kama nyerere,mandela na abdl naser.
6.angeachana na ndoto za suluhisho la matatizo kwa kutumia mitutu mbele ya watengeneza mitutu.
7.angeacha ndoto ya kutumia dini ka suluhisho la matatizo ya bara hili.
8.angeelekeza misaada yake katika kukuza uchumi wa nchi za kiafrika kuliko kwenye vita na kfadhili taasisi zadini.
9.angesoma kwa wenzake kamo china ambao pamoja na kuwa na misimamo yao bado maka leo haamini katika vita na mataifa makubwa.
10. angesoma ni kwa nini taifa kubwa kama marekani pamoja na kwamba mwanzo hata waislamu hawakuwepo ila leo serikali inajenga misikiti mikubwa kwa ajili ya raia wake watakao amua kujiunga na serkali hiyo.

kwangu mimi angeyafanya hayo hata mandela ningemuweka chini yake ila kwaktokuyajua hayo au kuyajua na kutokuyafanya kazi basi kwangu ni shujaa aliyeshindwa.
 
Back
Top Bottom