Unatumia mbinu gani pale unapomwomba Penzi Mkeo halafu anakukazia bila sababu za Msingi?

Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga.

Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe umezidi kila siku unataka, halafu ukichek imepita wiki hujamla, unamuuliza hivi kila siku na lini? anakujibu achana na mimi bwana niache nilale.

unaona kama utani unabembeleza lakini anakazia na kwa kuongezea, anakukumbushia makosa yako ya mwaka 2000, unastuka kumbe yupo serious gafla nyege kwa mbali zinakata.

Unajikuta kahasira kanaanza, mnaanza kuzozana, uyo uyo uyo uyo. Je, wewe ukifikia hatua hiyo unafanyaje?

Mimi mwenzio nikiona hivi naenda kata bakora narudi ndani tandika viboko, toka hapo nalala koridoni siku tatu, siku ya tatu nalewa narudi home nipo top naenda kuomba mchezo fasta napewa.

Aisee ndoa noma, eeh mwanandoa mwenzangu tupe uzoefu wako.
Kuna siku aliniletea ujinga huo nikamwambia sitaki upumbavu kama sipewi sitaki kukuona kitandani akalala chini siku mbili mbona alikuja mwenyewe
 
Kwanza unajipa yakini kuwa kuna mtu mwingine anamkuna huko nje.

Pili unanyanyuka na kwenda kwa mchepuko wako kutoa ugwadu (Kila mwanaume lazima awe na mchepuko permanent wa kutolea upwiru).

Tatu asubuhi yake unamfungashia virago vyake akapumzike vizuri kwa wazazi wake.

Ila kwa majibu hayo anayokupa ukimuomba kisoda ni wazi huna kauli humo ndani.
Mwanaume anaehishimika kwake ananyimwa papa kistaarabu anajikuta kalala na amani kabisa.

Maana kujibiwa achana na mimi kuna tofauti gani na majibu ya mademu wa kimboka.
Huyo ni aina ya wale wanawake wanaoweka mambo moyoni waliyotendewa
 
Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga.

Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe umezidi kila siku unataka, halafu ukichek imepita wiki hujamla, unamuuliza hivi kila siku na lini? anakujibu achana na mimi bwana niache nilale.

unaona kama utani unabembeleza lakini anakazia na kwa kuongezea, anakukumbushia makosa yako ya mwaka 2000, unastuka kumbe yupo serious gafla nyege kwa mbali zinakata.

Unajikuta kahasira kanaanza, mnaanza kuzozana, uyo uyo uyo uyo. Je, wewe ukifikia hatua hiyo unafanyaje?

Mimi mwenzio nikiona hivi naenda kata bakora narudi ndani tandika viboko, toka hapo nalala koridoni siku tatu, siku ya tatu nalewa narudi home nipo top naenda kuomba mchezo fasta napewa.

Aisee ndoa noma, eeh mwanandoa mwenzangu tupe uzoefu wako.
Mrudishe kwao kwa mwezi, usimtafute.
akirudi atakuja na adabu.

Sema inaonesha huna kauli ndani ya nyumba na haumchombezi mkeo
 
Akikunyima mwache hata for 2 weeks usimuombe wala kumshika mkilala akili itamsoma na ataanza kukupa mwenyewe muda wote
 
Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga.

Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe umezidi kila siku unataka, halafu ukichek imepita wiki hujamla, unamuuliza hivi kila siku na lini? anakujibu achana na mimi bwana niache nilale.

unaona kama utani unabembeleza lakini anakazia na kwa kuongezea, anakukumbushia makosa yako ya mwaka 2000, unastuka kumbe yupo serious gafla nyege kwa mbali zinakata.

Unajikuta kahasira kanaanza, mnaanza kuzozana, uyo uyo uyo uyo. Je, wewe ukifikia hatua hiyo unafanyaje?

Mimi mwenzio nikiona hivi naenda kata bakora narudi ndani tandika viboko, toka hapo nalala koridoni siku tatu, siku ya tatu nalewa narudi home nipo top naenda kuomba mchezo fasta napewa.

Aisee ndoa noma, eeh mwanandoa mwenzangu tupe uzoefu wako.
Babu yangu alinambia mwanaume ukitaka kuishi vizuri kwenye ndoa uwe na mchepuko kwasababu mwanamke hatabiriki.
 
Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga.

Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe umezidi kila siku unataka, halafu ukichek imepita wiki hujamla, unamuuliza hivi kila siku na lini? anakujibu achana na mimi bwana niache nilale.

unaona kama utani unabembeleza lakini anakazia na kwa kuongezea, anakukumbushia makosa yako ya mwaka 2000, unastuka kumbe yupo serious gafla nyege kwa mbali zinakata.

Unajikuta kahasira kanaanza, mnaanza kuzozana, uyo uyo uyo uyo. Je, wewe ukifikia hatua hiyo unafanyaje?

Mimi mwenzio nikiona hivi naenda kata bakora narudi ndani tandika viboko, toka hapo nalala koridoni siku tatu, siku ya tatu nalewa narudi home nipo top naenda kuomba mchezo fasta napewa.

Aisee ndoa noma, eeh mwanandoa mwenzangu tupe uzoefu wako.
Nimecheka sana aisee! Wakupe maua yako
 
Mada za taswira hii zimekuwa lukuki humu nowadays.

Huwa sielewi elewi hiyo situation ya eti kunyimwa mbususu na mwanamke unayemmiliki na kumcontrol.

Hivi anaanzaje anzaje kukunyima? How comes dume zima kabisa with healthy balls unyimwe penzi na mwanamke wako?

Unatakiwa upewe penzi at bulk, tena kwa kukuanza yeye mwenyewe romantically.

Mwanaume ukianza kuwa na uhaba wa penzi hadi uililie ndipo upewe, then you are done!

-Kaveli-
Kua uyaone
 
Back
Top Bottom