Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...