UNASWERED: why only! Zitto, Mrema na john cheyo?!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
" karibu asilimia kubwa ya bunge letu limejazwa na wabunge wa CCM ambapo kutokana na hali hii huwawia vigumu sana viongozi wa upinzani bungeni kupata nafasi za juu za uongozi ktk bunge mfano uspika, na uenyekiti wa kamati nyeti bungeni mfano ni pale ambapo mabere marando alipogombea uspika na kuambulia patupu!
Nahitaji mchango wenu wana JF why zitto kabwe,augustine mrema na john cheyo ndio waliofanikiwa kupata kura hata kutoka kwa wabunge wa ccm na kupata fursa za uwenyeviti ktk kamati nyeti za bunge?!"
Mchango wako ni wa muhimu kwani utasaidia na viongozi wengine wa upinzani kama lissu, mnyika, mbowe etc ktk chaguzi zijazo za bunge ili na wenyewe waweze kupata fursa hii kama ya hao wenzao wakina zitto pia utaweza kumsaida kamanda komu ili aweze kushinda kwenye uchaguzi wa mbung E.A kutoka upinzani.
Solidarity forever'
 
Attachments

  • zitto kabwe.jpg
    zitto kabwe.jpg
    19.5 KB · Views: 75
Dear shardicole,I am happy that you have asked the open question with so hidden agenda, simply because you know nothing about bunge!!! hapo tu umeaibika

Pili tafuta thread za kamanda Regia (RIP) atakueleza namna nafasi ya zitto ilivyopatikana na ugumu wake

tatu, leo hii Zitto anavyoifanya kazi kwenye ile kamati haijawahi tokea nchi hii.... na sifa zinaenda kwa chama, achilia mbali akifanya kazi ya kulijenga taifa bila itikadi

najua una ugonjwa wa Zittophobia

tunashindwa kukusaidia wakati tayari uliishasema HAUMWAMINI KABISA, lengo la hii thread ni ili umuamini???

kumbuka below are some of your comments regarding Zitto, swali unalouliza hautakuja na comment kama hiz hapa chini??

1.
jamani zitto kashapata alichokitaka so cdm msimwamini kabisa.

2.
hivi ww bado 2 huwa una muunga mkono zitto? Inamana uchafu anaoufanya zitto na ww unaufurahia?
Enewei tusiongee sana but kikubwa kwa watu kama ww wanaofata mkumbo hovyo dawa yenu tutakutana kwenye kamati kuu kipindi utakapotaka kugombea uongozi wowote wa chama au hata ubunge hapo ndipo utajua kwamba this time tommorow
TUMIA UHURU WAKO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIZURI LA SI HIVYO 1 dAY UTAJUTA LABDA UJE UHAMIE CUF AU CCK! Full stop.

3.
ndio hapo mkuu ujiulize? How comes moto na maji vikapatana? Hvi kweli inakuja kwa huu urafiki wa kushibana kati ya zitto mpin ufisadi na fisadi?
Hapo mimi ndo huwa nachoka sana kuhusu huyu zitto.

4.
Hilo ndio jambo muhimu mi huwa nasema kuwa chadema inatakiwa ifanye ustadi mkubwa ktk ku-scan virus wote ndani ya chama pasipo kuja kuleta mgawanyiko kama ulotokea kwa CUF, pia njia moja ambayo CDM wanatakiwa waifanye ni kuhakikisha ktk chaguzi zote za chama hadi 2015 ktk kuteua flag-barriers wa chama kwenye ubunge wanatakiwa wachaggue viongozi ambao sio mamluki wala wenye element za undumikuwili ili kukijenga chama vizur ktk kuelekea uchaguzi mkuu.

ningekufundisha lakini naona una yako mkuu

ficha uso
 
CCM Inao watu wake nje: Mrema na Cheyo ni mask za upinzani zilizovaliwa na ccm
 
Waberoya,

Huyu jamaa nashindwa kumuelewa yuko kundi gani ndani ya Chadema maana anarusha maneno na mwisho anajisahau kabisa kuwa ameshasema hivi. Nilikuwa sijamfahamu kabisa au kumjali ila jana ndiyo nimekuja kumfahamu hapa JF.

Ona majibu yake jana:

huo ndo upuuzi ambao mm huwa sikubaliani nao hata siku moja, kazi ya mbunge kwani kulisha watu jimboni kwa fedha zake? Ww hujui kazi ya mbunge? Hata kama ss ni wapinzani lakini tujue kuna mambo huwa hayahitaji ushabiki wa kisiasa hata kidogo kwani tukifanya hivyo tutakuwa tunajidhalilisha wenyewe kwani hata majimbo ya viongozi wetu wa upinzani wapo watu wanaolala njaa but tatizo so la mbunge bkoz katiba umefinya na kutoa madaraka madogo kwa mbunge ktk kutekeleza shuguli za maendeleo jimboni, alafu kitendo cha kuchukua picha personal na kuzianika humu huo ni uchanga wa kisiasa kwani kila mtu ana fani anyoipenda so kama siasa ndo hivi basi ipo siku wengine tukiwa wabunge basi mtatuanikia hata picha zetu tulizopiga na mama zetu na kusema ni wapenzi wetu.
Mkuu sikonge kwa hii comment yako nimekushusa thamani sna na kwa taarifa yako hapo sikonge takayeikomboa kupitia cdm ni mtoto wa nkumba mwenyewe anayeitwa Hamis nkumba kwani kijana ndo anafaa sana japokuwa baba yake ni ccm kama unabisha subiri 2020 ndo utaona moto wake.

Huu ndio upuuzi wa siasa mavi za kanikiana cv kimajungu humu jf, mm sio ccm ni mwana cdm but sijafurahishwa hata kidogo na mleta thread kwani alichofanya yy ni kumdhalilisha hon. Nkumba, kwani hizo cv sinahusika nn na utendaji wa kazi mbunge mwenyewe? Jk nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri na hatokuja kutokea kama yy but je alikuwa na degree ngapi? Kama tukiwa tunafanya uppuzi kama wako basi ipo siku utatudhalilishia hata viongozi wetu wa cdm wenye elimu ya kawaida but wana uwezo mkubwa kama g.lema, mleta thread umetoa tusi ukidhani unamtusi nkumba na ccm kumbe umetutusi na cdm pia na kikubwa umemtusi na baba yako.' KWANI BABA YAKO ANA DEGREE NGAPI MPAKA AKAWEZA KUMDHALISHA MAMA YAKO NA KUKUZAA WW NA KUWEZA KUENDESHA FAMILIA YENU.

From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iko-hivi-na-makelele-yote-yale-bungeni-4.html

Anajichanganya hadi inakuwa ni rahisi sana kwa muda mfupi kumfahamu yeye ni nani.
 
Dear shardicole,I am happy that you have asked the open question with so hidden agenda, simply because you know nothing about bunge!!! hapo tu umeaibika

Pili tafuta thread za kamanda Regia (RIP) atakueleza namna nafasi ya zitto ilivyopatikana na ugumu wake

tatu, leo hii Zitto anavyoifanya kazi kwenye ile kamati haijawahi tokea nchi hii.... na sifa zinaenda kwa chama, achilia mbali akifanya kazi ya kulijenga taifa bila itikadi

najua una ugonjwa wa Zittophobia

tunashindwa kukusaidia wakati tayari uliishasema HAUMWAMINI KABISA, lengo la hii thread ni ili umuamini???

kumbuka below are some of your comments regarding Zitto, swali unalouliza hautakuja na comment kama hiz hapa chini??

ningekufundisha lakini naona una yako mkuu ficha uso

Nadhani na wewe unaanza kujiuliza nini kipo nyuma ya Zito? Kwa nini yeye? Hivi CCM ni wajinga kwa kiwango hicho?

Tafakari chukua hatua.
 
Waberoya,

Huyu jamaa nashindwa kumuelewa yuko kundi gani ndani ya Chadema maana anarusha maneno na mwisho anajisahau kabisa kuwa ameshasema hivi. Nilikuwa sijamfahamu kabisa au kumjali ila jana ndiyo nimekuja kumfahamu hapa JF.

Ona majibu yake jana:

From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iko-hivi-na-makelele-yote-yale-bungeni-4.html

Anajichanganya hadi inakuwa ni rahisi sana kwa muda mfupi kumfahamu yeye ni nani.

Mkuu kazi tunayo!

sasa wengine tungekuwa na mapresha ya kutukana watu matusi hovyo na hasira kama huyu leo tusingekuwa na miaka minne JF!!

wengi wa style hii walikuja na tukaona hawapo tena!

kwake yy siasa ni uadui..kumbe hawa wana CCM, CDM, NCCR, TLP ndio tunaombana chumvi na moto, ndio tunakopana na kupakia dala dala moja

hawa wanachama wa vyama mbalimbali regardless their differences wanaoana na kuhudhuria kwenye misiba na harusi

Ndio maana ukitaka nchi hii uonekane mjinga wewe endekeza chuki za kidini , kikabila na kichama...peole out there they will laugh at you

Ndiyo maana wanashangaa wengine tunashindana leo na kuchukizana , kesho tunacheka na kutaniana,,,JF inaendelea

sasa wasio jua wanashindwa kutofautisha JF kama debate ground..YES IT IS!!, ila wanaona JF kama ni uwanja wa vita!!!!

Huyu jamaa nimemchora sana, comment zake, matusi yake, IQ yake n.k leo anajifanya anauliza decently....kwenye thread yake hii , ili hali akiwa na hidden agenda za kumtukana zitto, just imagine hata wenzie wanachadema wanaona kituko...ndiyo akina sie!

sijajua hoja gani au kitu gani kilipelekea aingize wazazi wetu kwenye hoja za humu ndani!

Mtu wa namna hiyo simply anakuwa amefilisika mawazo...hana uwezo wa kusema point wala kujenga hoja, ..uwezo wake unajengwa kwenye matusi, ubishi na kutaka kuonekana mshindi

Tutamwomba invisible aweke kajisehemu ka wanasaikolojia kusaidia watu wa namna hii...anaumwa ila hajui kuwa anaumwa!

Pole Sikonge, just put him in the ignore list -----it helps

wala sitajibizana na huyu mheshimiwa sana.
 
Hatupingi kuwa zitto ni very smart..ila pia kuna wabunge wengi na viongozi wengi ndani ya chadema ambao ni smart pia! Ila mtu anayetetewa na kulindwa na magamba kuliko mfano ni zitto..halafu ukimfuatilia sana zitto utagundua kuwa ni mwoga sana kuitaja chadema! Zitto usizingue watu..there is something fishy btn you and ccm!!!! Jiulize! Idadi kubwa ya wafuasi wa chadema kwanini hawakuamini?
 
Nadhani na wewe unaanza kujiuliza nini kipo nyuma ya Zito? Kwa nini yeye? Hivi CCM ni wajinga kwa kiwango hicho?

Tafakari chukua hatua.

Kama mwanachadema kweli utajua swala hili alilisemea vizuri sana Regia!! kama haujuia anzisha thread nyingine , nikusaidie...thread hii kwangu ni kama ajali

huyo usiyemuamini ndiye mmoja wa top leaders! juzi kapewa rungu mwanza cdm ikatoka kidedea

acheni hizo mnajiua nyie
 
Hatupingi kuwa zitto ni very smart..ila pia kuna wabunge wengi na viongozi wengi ndani ya chadema ambao ni smart pia! Ila mtu anayetetewa na kulindwa na magamba kuliko mfano ni zitto..halafu ukimfuatilia sana zitto utagundua kuwa ni mwoga sana kuitaja chadema! Zitto usizingue watu..there is something fishy btn you and ccm!!!! Jiulize! Idadi kubwa ya wafuasi wa chadema kwanini hawakuamini?[/QUOTE]

CDM-JF??

kuna mnaofikiria wana cdm walio JF ndio CDM yenyewe!! wrong

hivi aliyeongoza uchaguzi wa mwanz ahivi juzi ni nani? wasiyemwamini wakampa rungu? una contradict na viongozi wa chadema.........it just doest up!
 
NAMPENDA SANA ZITTO KABWE...NAJUA WAZI SANA KUWA ANA UWEZO MKUBWA SANA WA KIUONGOZI..HILO SIPINGI!!!!
LAKINI UKWELI NI KWAMBA ZITTO KABWE HAYUKO PAMOJA NA CHADEMA!!!!!
ISHU YA Arumeru, alishiriki ila sio kikamilifu! najua CHAMA kilimpangia kazi nyingine Mwanza! Lakini! Tumezoea kuona matamko yako online, iwe FB,TWITTER, kwenye blog YAKE AU JF(mara chache, siku hizi haipendi JF), lakini zitto mara nyingi hakupenda kuizungumzia Arumeru( sababu ya kushabikia ukanda na udini.) ile ishu ya Polisi kuua watu Arusha haikuingia akilini mwa zitto..likaja suala la LEMA...Zitto akapiga kimya kikali mpaka kesho!!!!
Kifupi ZITTO ni kichwa sana ila mienendo yake ndani ya CHADEMA inaleta maswali mengi saaana..kuliko majibu!!!!

CDM-JF??

kuna mnaofikiria wana cdm walio JF ndio CDM yenyewe!! wrong

hivi aliyeongoza uchaguzi wa mwanz ahivi juzi ni nani? wasiyemwamini wakampa rungu? una contradict na viongozi wa chadema.........it just doest up!
 
chadema mnasengenyana sana mara leo kinote cha mbowe bungeni kimeliki kutaka komu achaguliwe na wabunge wa ccm wanaotoka kaskazini,mara mtei kafilisika,mara mnyika jimbo limemshinda,mara imefika wakati dr slaa aachane na uchumba aoe sasa,mara zitto ni kirusi ndani ya chadema,Mara Komu anafuja pesa za chadema! chadema mko juu sana kwa kusengenyana(gossiping)
 
najua una ugonjwa wa Zittophobia

images

Zittophobia can be likened to flu phobia, it is visible but Zittomania is like mask mania, it is disturbing!

images

For most people, phobia is the anticipation of the pain rather than the pain itself but mania happens to be blind to both.

ha ha haaa

mkuu umenichekesha!!
 
Dear shardicole,I am happy that you have asked the open question with so hidden agenda, simply because you know nothing about bunge!!! hapo tu umeaibika

Pili tafuta thread za kamanda Regia (RIP) atakueleza namna nafasi ya zitto ilivyopatikana na ugumu wake

tatu, leo hii Zitto anavyoifanya kazi kwenye ile kamati haijawahi tokea nchi hii.... na sifa zinaenda kwa chama, achilia mbali akifanya kazi ya kulijenga taifa bila itikadi

najua una ugonjwa wa Zittophobia

tunashindwa kukusaidia wakati tayari uliishasema HAUMWAMINI KABISA, lengo la hii thread ni ili umuamini???

kumbuka below are some of your comments regarding Zitto, swali unalouliza hautakuja na comment kama hiz hapa chini??

1.

2.

3.

4.

ningekufundisha lakini naona una yako mkuu

ficha uso

Duh JF kwa kumbukumbu safi sana! Ukijichanganya tu watu wanaivuta thread wanaileta.
 
Back
Top Bottom