unashangaa shangaa nini????

Madame B umeuaaa...hahhahahhaa. Nimecheka mpk basi.

Unafikiri utani HEART we tafuta Picha aliyopiga akiwa Fiesta Moro pale Swimming Pool akiwa na Linnah na Recho.
Ni Full Kachumbari.
Uso,miguu na viwiko.
Ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Me namshanga mtu aitwaye wakati ndio sasa... king'ang'anizi kama kupe! Naomba uninong'oneze hivi ulimpa nini ukampagawisha? Na nitakushanga zaidi endapo utaweka kapuni jibu langu.

CL alichukua kipande cha nyama ya paka zeruzeru akakichanganya na mimba changa ya fisi wa usukumani akakivingisha kwenye kipande cha ngozi ya kenge akachemsha na kumwandalia wns msosi,matokeo yake ndo haya.msamehe bure wns,sio yeye.
 
mambo vipi wewe, unashangaashangaa nini? kashangae mikumi chui kavaa batiki. . .

unashangaashangaa nini? kashangae chooni funza wanacheza yekeyeke. . .

hahaha umenifurahisha kweli...
mi nashangaa pesa hazioti lakini benk kuna matawi,
Nashangaa haturuhusiwi kudrive wakati tumekunywa pombe wakati bar kuna paking,
nashangaa jamaa anangarisha viatu wakati anenda kupiga passport size
Nashangaa wanamwamsha mgonjwa ili wampe dawa ya usingizi
anapunguza sauti ya redio ili asome message
 
Unashangaa ndevu za Ricky Ross! Mbona mbuzi anazo ila ng'ombe kanyimwa!
 
Back
Top Bottom