Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Tumefunzwa kumchukia mzungu then tukafunzwa kumuheshimu Mchina.
Tulimfukuza mzungu kwa maana hatutaka mabavu na dominance yake ila leo tunakaribisha dominance ya "Li hao Ming" katika biashara za maisha ya kila siku.
Haiwezekani foreigner ambae nchi yake ndio manufacturer na wholesaler mkubwa kwa wajasiriamali nchini tena aje nchini aweke soko la bidhaa zake na jinsi wakina "Kim lin ho" walivyo wakuda watashusha bei watu wakimbie kutoka kwenye maduka ya waswahili.
Tanzania, ooh, Tanzania yangu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app