Unapinga ufisadi? Sign hapa

MyTanzania

Senior Member
Sep 9, 2008
106
8
Ndugu watanzania wenzangu,katika kuunga mkono vita dhidi ya ufisadi inayoendelea nchini nimeanzisha petition. Kama unaunga mkono,naomba usign kwa kutoa maoni yako. Kama una unga mkono CLICK LINK HII HAPA CHINI
http://www.ipetitions.com/petition/tz1
 
Back
Top Bottom