Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Mola ampumzishe kwa amani
nini maana ya uhaini?....
Ohh jamani kwani naye amefariki?
Namkumbuka Lkha kwenye hiyo kesi maarufu ya uhaini was in std 3 wakati ule! nilikuwa silikosi gazeti; wazazi wakinunua ni lazima nahakiiisha ninalisoma na marafiki zangu
Kwakweli Mfanyakazi la enzi zile ndo angalau lilikuwa wazi maana enzi zile UHURU,MZALENDO na DAILY/SUNDAY NOISE tuu... Mpiga picha Senga sijui yuu wapi... Nadhani Hemed Kimwaga ameshatangulia mbele ya haki... Mwaweza nisahihisha!
Zaidi ya "kakesi kakijinga jinga," hakuna kesi ya maana aliyowahi kushinda zaidi ya ndugu yako kufutiwa kuiba kuku? Hizi za uhaini alikuwa anashindwa shindwa, au?Nyingi tuu mazee, Nakumbuka jamaa yangu alikuwa na kakesi kakijinga jinga akamweka Lakha amtetee...
Binafsi simshadidi sana Advocate Lahka (RIP): Katika kesi hii nilivutiwa na:
Capt E Maganga
Capt Kadege
??? Banyikwa
?? Chipaka Brothers
Cpt Kadege (retired) nimekutana naye mara mbili mitaa ya Tegeta - The rest sijui wako wapi?
Ulikuwa unasoma kwa kupenda au ulikuwa unasoma kumfurahisha baba? teh teh
nadhani miaka hiyo kama ilikuwa kusoma basi ilikuwa ni SANI. kama ni kutumwa sukari kg 1 utanunua nusu nipate ganji ya gazeti la sani
Alishinda Kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1979 kwa mshtakiwa wa pili aliye tetewa na Lakha, aliachiwa huru, wengine wote walitiwa hatiani. Wakati huo jAliwahi kusaidia kushinda kesi gani?