Unakuta Binti Mzuri, ana Shape unasema Mke Huyu. Kumbe nyuma ameweka kitunguu!

Mama ame exaggerate japo ana point zamani walikua wanaweka vitambaa ila siku hizi technologia kuna plug kiukweli utandawazi umechangia siku watu hawajifichi zamani ndio ilikua Siri Sana haya mambo
 
UZI wakonumekosa ushahidi wa moja kwa moja, zaid umejaa tu maneno yako binafsi ambapo ni yametokana na story ulizo adisiwa ... Umetaja miji ya Tng, Mombasa pamoja na Nchi ya Znz ...hauna ushahid wa kutetea kauli yako ya kuhusisha miji tajwa na vitendo unavyo visema vimechipukia ktk mijibtajwa
 
Back
Top Bottom