Unajua wajua !!!!!!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Mchezaji alieingiza botswana kwenye mashindano ya afrika leo anacheza na ghana
ajawahi kucheza ligi yoyoyte botswana zaidi ya kucheza michezo ya mchangani
kwa kukodishwa ..kijana huyu ndie alieongoza ,kwa magoli ya kushinda na ndie aliefunga
goli la ushindi botswana ikaingia mashindanoni

leo hii amechukuliwa na timu moja ya ligi kuu baada ya kuona kiwango chake kwenye michuano
ya kugombania kuingia mashindano ya afrika

je umejiuliza tuna wangapi kama hao tanzania ambao wana kiwango cha ajabu na pengine
wamekosa uwezio wa k uchaguliwa kwenye ligi zetu tataa leo wangetutoa kimasomaso
na hii aibu ya kuwa kichwa cha mwendawazimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom