unajisikiaje unapom'bamba dada ako?

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?
 
Nakumbuka 2005 maeneo ya rchuga rafki yangu alichomwa kisu na bro wa demu wake akiwa angle anamsubiri.duu inauma bora jamaa awe muowaji na si mpitaji then aitakiwi muwe kitaa kimoja
 
Kama ni mi nasambarati wote atongozwo mbele yangu huyo sister na huyo mchizi kila mmoja njia yake.
 
kwani unaowafanyia hivo sio dada za watu.....................ukitaka kula kubali kuliwa
 
aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?
nadindisha halafu naanza kumshika makalio huyo jamaa then nadondosha hela halafu namwambia jamaa aokote then abaki hivyohivyo ameinama huku nguo kavua
 
Ni ajabu kweli utakuta kaka hataki kabisa kusikia/kuona dadake akitongozwa au yuko na jamaa, lakini yeye huyo huyo anajisikia fahari akimtongoza dada wa mwenzie. Hapa huwa na jiuliza ni wivu au tuiteje?
 
mwache mwanaume aitwe mwanaume

mwanmke lazima heshima mbele
 
Back
Top Bottom