Unajisikiaje mtu akikwambia ni CCM

Mtu akiniita CCM labda awe na mbio, vinginevyo nitajichukulia hatua mkononi. Ufisadi,udini na mauaji ndiyo msingi wa magamba
 
Mh! hata nikiambiwa niwape hukumu leo nafikiria nitawapa hukumu gani maana naona hata kunyonga ni adhabu ndogo......hiki chama kimenitoka hakuna mfanowe.
 
Mh! hata nikiambiwa niwape hukumu leo nafikiria nitawapa hukumu gani maana naona hata kunyonga ni adhabu ndogo......hiki chama kimenitoka hakuna mfanowe.

Wanachofanya Alshabab na ccm hivi kuna tofauti yeyote kweli?
 
hakuna njaa hapa ila habari ndo hiyo... no challenge without different ideas, no changes if you are one... after all mimi sio ccm ila nimetoa mawazo yangu kama ulivotaka mawazo tofauti.
 
Back
Top Bottom