Unajisikiaje mtu akikwambia ni CCM

nawaza 2: ama anafaidika na maovu ya CCM au hazimtoshi.
 
ukiniita ccm ni sawa na kuniambia mie ni mliberali ntapigana mpaka tone la mwisho la damu
 
CCM wameshaenda fyongo,ni waongo ss tutawachemsha kwa hz bongo hawatuwez niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mapongo kudadadek ss ndo ss ss si waas ni wa asisi...........................tupo pamoja
:yell::yell::yell:
 
Nyumbani kwangu nimeshapiga marufuku mtu yoyote mwenye Itikadi au mtazamo wa CCM kukanyaga.
Ole wake mwanaCCM yoyote atakayeleta pua kuingia nyumbani kwangu.

kwa maneno mengine ni kuwa hakuna demokrasia kwako na kwa chama chako.kama ccm wangekuwa wanafikiri kama wewe naamini wangekuwa wameshaifuta cdm but coz wanaelewa demokrasia ni nini wameendelea kuvumilia harakati zote zinazofanywa na cdm.we angalia mfano arusha cdm wanakubalika kiasi kwamba wamejimilikisha haki miliki ya mji na wengine kufanya siasa pale ni kama kosa la jinai.ukionekana umevaa nguo za ccm/cuf etc mtaani unaweza kupigwa mawe.don't tell me hiyo ndio demokrasia ambayo cdm wataifanya wakichukua nchi?
 
ni nani alie CCM alieshinda bila kutoa rushwa na kuiba kura?
Ni nani CCM asie fisadi?
ninani CCM asie na uchu wa madaraka?
LIwalo na liwe....
mspichagua CCM mtakufa... kauli ya Mwigulu akiwa Arusha.
Lukuli akasema Chadema walizuia polisi kumkamata mrusha bomu wkt polisi ndio waliofyatua risasi kuwajeruhi walio
taka kumkamata mrusha bomu na akatoroshwa na polisi.
Nape alisema Mbowe atakutana na aibu yake Arusha ndio hiyo ya kunusurika kulipoliwa na bomu.

ushahidi huu na zingine zinadhihirisha bila shaka kuwa ni chama cha........????
malizia mwenyewe.

mawazo yako potofu tuu nakuto kujua ndomana unasema hivyo...
 
Natajiuliza sana hivi nimemkosea nini huyu mtu mpaka amenidharau kiasi hiki? CCM, Mungu apishilie mbali, mimi na ukoo wangu
 
ni nani alie CCM alieshinda bila kutoa rushwa na kuiba kura?
Ni nani CCM asie fisadi?
ninani CCM asie na uchu wa madaraka?
LIwalo na liwe....
mspichagua CCM mtakufa... kauli ya Mwigulu akiwa Arusha.
Lukuli akasema Chadema walizuia polisi kumkamata mrusha bomu wkt polisi ndio waliofyatua risasi kuwajeruhi walio
taka kumkamata mrusha bomu na akatoroshwa na polisi.
Nape alisema Mbowe atakutana na aibu yake Arusha ndio hiyo ya kunusurika kulipoliwa na bomu.

ushahidi huu na zingine zinadhihirisha bila shaka kuwa ni chama cha........????
malizia mwenyewe.

hapo ndipo nawachoka ninyi watu,nitajie hao walio mafisadi naushahidi naomba mezani
nitajie walioshinda kwa kutoa rushwa,je ushapeleka shauri mahakamani kuhusu hili?
nitajie wasafi ndani ya chama chako ni akinani..
je niwakinanani walio tao ahadi ya nchi kuto tawalika?
 
unadhani kila anepinga sera mbovu za CCM ni mwanachama wa upinzani?
sina chama na sio mwanasiasa.
sihitaji kukupa evidence kuhusu ufisadi ulio ndani ya Chama chako kwa vile unaujua na mnajuana hata kulindana.hata mtoto anajua uchaguzi wenu wa CCM uligubikwa na vitendo vya rushwa tena hadharani.
mafisadi mnawajua tena sana wapo wengine walioficha trillion 12 south afrika leo hii wakapewa bonus ya ubalozi. wapo wenye mahekalu ya kutisha na wengine hushinda makanisani wakitoa misaada
wapo wanaojigamba kujenga barabara ati ni juhudi za chama na sio kodi zetu wananchi.
DR Slaa alisema nchi haitatawalika kwa vile alijua viongozi wengi hawakuchaguliwa na wananchi bali wizi wa kura
na alijua hawatatekeleza ahadi zao ndio maana akasema nchi haitatawalika hakumaanisha ugaidi kama huu unaofanywa na kundi la wachache.tumia akili kutafsiri neno.
nchi gani leo hii mawaziri wanaboronga wanaachwa tu kama sio kulindana?
 
Kama Mpalestina anavyofanya kuwalea watoto wake akiwafundisha adui yao mkubwa ni
Muisrael,ndivyo mimi ninavyolea watoto wangu nawafundisha adui yao mkuu ni ccm'
 
Zamani nilikuwa naheshimu mtu akiniambia yupo ccm japo nilikuwa upinzani ila kwasasa nikisikia hivyo nahisi mtu huyo atakuwa either anatatizo la psychology au ni njaa tu. Sijui wadau wengine

mzee,mimi namuona kama amejinyea,huwa naanza kujawa na mate mdomoni ghafla.
 
kuwa kijani sio tatizo, tatizo ni kushabikia mambo mchele ambayo yanayofanywa na kijani
 
Kitendo cha ccm kung'ang'ania kupendwa na wananchi hakina tofauti ya mtu aliyekataliwa mapenzi, kisha kuamua kubaka na kuua eti kwasababu hapendwi. Yaani mtu anayefikia hapo ujue tu ni juha wa kila kitu na mufilisi wa kifikra
 
Namuagalia huyo mtu kama ni mzee Namuelewa lakini kama ni kijana nakuwa na wasiwasi naye kuhusu uelewa wake manake uelewa wake mdogo sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom