Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 430
- 751
Mkuu natafuta engine mswaki wa suzuki swift m13a au m15a. Na prices zake
Hizi 5L zimeadimika sana , kikawaida bei yake ilikua ni milioni 7 mpaka 6.5 kwasasa ukibahatika kuipata itagharimu milioni 8.5Shukran, ntakucheki kwa hiyo namba, na engine ya toyota hiace 5l complete ina bei gani?
Hizi mkuu hazikatwi mswaki, complete utaipata kwa milioni 1.3Mkuu natafuta engine mswaki wa suzuki swift m13a au m15a. Na prices zake
Engine ya townace(keri) inagharimu bei gain?Hizi mkuu hazikatwi mswaki, complete utaipata kwa milioni 1.3
Bei ni milioni 1.9 yako imekuja ya Distributor au coil?
Imekuja na engine gani?Engine ya townace(keri) inagharimu bei gain?
Hizi sina mkuunahitaji spare za merecedes Benz engine (W-203) V2597L 6 CYLINDER YA 2001 C -CLASS , VIFAA VIFUATAVYO
A) COIL PACK ( DOUBLE SPARK),
B) THEMOSTARTER
C) CYLINDER HEAD GASKET
Master of the game Mkuu nahitaji mtungi wa kuhifadhia maji ya waiper Aina ya gari ni Nissan xtrail
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu MBNA uliuza scraper wakat Gari Inaonekana ingetengenezeka au engine ilizngua?
120,000/=mkuu kioo cha mbele cha spacio new model bei gani?
Hii sina bossNataka parking mirror ya NT31 NISSAN
Utaipata kwa 150,000/=
DistributorBei ni milioni 1.9 yako imekuja ya Distributor au coil?