Unahitaji shamba Bagamoyo?

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Wakuu lipo shamba zuri sana maeneo ya Kiromo Bagamoyo.Ni shamba lenye ukubwa wa ekari Saba,kila ekari ni Tsh 3,000,000/-maongezi yapo.Ni shamba halali,na hatua zote za kujiridhisha uhalali wake zitafuatwa wakati wa ununuzi.
 
Unaweza kuuza eka 2 hapo??
 
how far is kiromo from bagamoyo mjini?

Kutoka bagamoyo hadi kiromo ni wastani wa km9 hivi kuelekea Dar,inamaana kabla ya kufika bagamoyo mjini,unafika kiromo kwanza ukitokea Dar.Kwa nyongeza,karibu na shamba hilo serikali imechukua ekari 1000,inajenga chuo kikuu cha Diplomasia,pia lugalo wana ekari 600 za kujengea hospitali.Umeme na maji vinapatikana,na barabara zinazopita magari bila wasiwasi.
 
Wana JF,bei imeshuka hadi 2800,000/-munasemaje?????
 
Kiromo na kale ka mradi ka EPZ !? Kipande hicho si kimezuiwa kuendelezwa kupisha huyo mradi tajwa?
 
Wakuu shamba ni zuri sana,lina mikorosho na miembe,ni tambarare,hakuna hata kichuguu.
 
Mh mkuu mbona nimesikia hapo pama matatizo anyway hapo kiromo pama ofisi ya serekali za mtaa nitakuja hap6 then nikutafute by the way natafuta eneo barabarani kabisa kwaajili ya kujenga kituo cha mafuta nipigie no. 0754827198 au 0716099463
 
Wakuu lipo shamba zuri sana maeneo ya Kiromo Bagamoyo.Ni shamba lenye ukubwa wa ekari Saba,kila ekari ni Tsh 3,000,000/-maongezi yapo.Ni shamba halali,na hatua zote za kujiridhisha uhalali wake zitafuatwa wakati wa ununuzi.

Naogopa kukaa karibu na Mkwere ataniambukiza virus vya Rushwa na kuwa Mwizi.
 
naogopa kukaa karibu na mkwere ataniambukiza virus vya rushwa na kuwa mwizi.

mkwere alishawaambia waswahili wenzie wachangamkie tenda ya kuendeleza mkoa wa pwani angali bado madarakani ama sivyo akishaondoka fursa hizo hawatazipata tena!! Umeona jinsi barabara ya bagamoyo-msata ilivyochangamkiwa sasa hivi ; tenda amepewa subash patel ,swahiba wa mkwere na ikumbikwe kuwa mabilioni ya fedha yalishakwapuliwa na mkorea aliyekimbia na wakina kawambwa wakapata mgao wao mambo yakawa kwishnei!! Hii nchi tambarare sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom