Unahitaji mke mwema? huyu hapa

mama lubango

Member
Aug 16, 2011
56
8
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
 
Duh. Unatafuta mchumba with target ya 2 yrs ndoa.
Ukiishi hivyo aisee utajikuta unakuwa very desperate maishani mwako. Hebu soma utafute kazi bwana, wanaume watajipanga kutaka kukuoa.
 
uploadfromtaptalk1372899083950.jpg powa umepata plz reply ur phone non
 
Mi naona kama target ya mama lubango ya miaka miwili ni nzuri ili wapate muda wa kutosha wa kujuana na huyo atakae mpata than kujuana kwa mwezi tu then ndoa inafuata
Duh. Unatafuta mchumba
with target ya 2 yrs ndoa.
Ukiishi hivyo aisee utajikuta unakuwa very desperate maishani mwako.
Hebu soma utafute kazi bwana, wanaume watajipanga kutaka kukuoa.
 
Last edited by a moderator:
Kweli utoto raha.
Tell you what baby? Unaweza kumchunguza na hata kuishi na mtu 15 yrs na usimjue hata kidogo. Mapenzi hayana formulae. Mnaweza kuwa pamoja miezi 6 na mkaamua kuoana ama mkakaa 5 yrs na ukapewa pete ukasita!
Mi naona kama target ya mama lubango ya miaka miwili ni nzuri ili wapate muda wa kutosha wa kujuana na huyo atakae mpata than kujuana kwa mwezi tu then ndoa inafuata
 
Last edited by a moderator:
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

mkristo mlokole au?manake mie mroman na hautak mroman wala msabato ila kwingine kote nafit.
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

We na yule wa Iringa wa usingizi mmoja 400000 sawa sawa!
 
Why not!! Mara and Ukerewe!!!usidhani hatumo!! Tumo wengi tunakuangalia tu!! Hutaki wajita!wewe! Aiii
 
Tulia utapata pm za kutosha tu, ila kwenye msafara wa mamba na Kenge wamo na huenda Kenge wakawa wengi kuliko Mamba.
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

Umebandika tangazo chuoni kwako? Wewe kabila gani?
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
Mimi Mpare elimu sina ila namiliki chuo binafsi cha ualimu na shule kadhaa za sekondari na nikikuoa najua utanisaidia sana kusimamia hizi shughuli je nitakufaa? Ila shahada sina ni form four.
 
Tangazo lako lina ukabila, udini, na ueneo..... Hebu mfikirie mtu ambaye ni Mromani, anatoka Ukerewe na si msukuma...

Mimi Mpare elimu sina ila namiliki chuo binafsi cha ualimu na shule kadhaa za sekondari na nikikuoa najua utanisaidia sana kusimamia hizi shughuli je nitakufaa? Ila shahada sina ni form four.
Hivi we unataka mke au meneja wa shule zako..??

nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya mara au ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

ukerewe si mkoa ila mwanza ndo mkoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom