Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
3,266
7,816
Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na serikali ya Ukraine.

Vyombo vyote habari vya magharibi na visivyo vya magharibi vililipoti habari zao ila sasa hatuoni CNN, RT ALJAZIRA etc wakiripoti habari za watu wa Belgorod.

Wakati wa vita vya Crimea RT ililipoti kwamba wapiganaji wanaotaka kujitenga ni Waukraine, wamejinunulia uniform za jeshi na ammunition kwa pesa zao wenyewe wala hawafadhiliwi na Urusi lakini mbona ipo kimya dhidi ya wazalendo wa Belgorod?

Ngoja niwakumbushe uovu unaofanywa na serikali ya Urusi dhidi ya watu wa Belgorod;

- Serikali urusi imekuwa ikiendesha mauaji kwa zaidi ya miaka mine dhidi ya watu wa Belgorod.

- Watu wa Belgorod wamekuwa wakitengwa na serikali ya Urusi kwasababu ya ethnic yao.

Lakini habari hizi uwezi zisikia vikiandikwa na RT, BBC, CNN, CRI, ALJAZIRA etc.

- Urusi imetengeneza maabara silaha za kibaiolojia kuua watu wa Belgorod. Sasa watu Belgorod wamechoka, wanataka uhuru wao japo dunia inajifanya haioni.

Dunia iache double standards za wazi kabisa. Dunia isimame kati, iitishwe kura ya maoni ya kujitenga kwa watu wa Belgorod. Wanaouawa huko Belgorod ni watoto, akina mama na wazee wasio na hatia yoyote.
Urusi imefanya mauaji makubwa sana kwa watu wa Belgorod.

Hata kama dunia itajitia upofu dhidi ya watu wa Belgorod heroism wa kundi dogo na dhaifu liliosimama kupinga dhuluma ya serikali ya urusi ujasili wao utakumbukwa.
 
Acha Umbea ndugu. Kwanini usipaze sauti kwa zile ekari 6000 za wazazibari kuwa ni nzetu sisi Tanganyika?

UTUMBO wa bata huu ......
 
Recently nina alergy na nyuzi za watu wenye udumavu wa akili, sijui kwanini...
 
This is the effect of poor broke and poverty striken life that has affected you,who tagged you on this thread?.
hence you depend absolutely on men for your survival through hookup. Shame on you. Shame!!!!!
Try and get a decent job.
Don't bring your miserable life on faceless forum.
This thread is for great thinkers only not for indomie girls like you.
 
Back
Top Bottom