unafahamu siku uliyozaliwa?

ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi,

Ofcourse ni calculator ya ukweli, kuna watu wengi wanafahamu na wanakumbuka tarehe, mwezi na mwaka waliozaliwa ila wengi hawakumbuki kwamba ni siku gani, hivyo hiyo ni rahisi kufanya ujue siku uliyozaliwa. Lokissa safi sana umejaribu na umeona.
 
Back
Top Bottom