Unaenda fiesta unamsikiliza mrs gadner na wimbo wa faraja what do you expect jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kuna kazi nasikia bi faraja anamwasga wimbo wake niko hoi naona nae yeye kaifwata cd yake sasa unaenda show unamkuta jd
unatarajia itakuwaje jamani hiyo show si bora uemde njenje pale salendaclub nikaone wazzee wakijinafsi
 
clouds wameboa, hao THT dancers ndio kabisa..................hizo ela sijui wanapeleka wapi? badala ya kuwaletea watu wasanii wa kueleweka...wanaleta THT dancers wanacheza mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom