Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,372
- 1,031
Wakuu ni vipi??
what is your checklist when choosing a wife material, what do you look at?
what is your checklist when choosing a wife material, what do you look at?
wewe unaejiandaa kuoa ni vp mkuuHuu uzi nahisi ni maalumu kwa waliooa, ngoja waje watoe ushuhuda wao
Hivyo tu hamna vngineMrefu
Mweupe
Mwembamba
Chura sio lazima lakini ikiwepo sio mbaya
kwel mkuuMi nadhan yangu iko hivi...
Kwanza lazima tujue mwanamke aliumbwa awe msaidizi wangu kama mwanaume! Kwa kifupi nna mapungufu yangu so yeye aje ayazibe na mimi nizibe yake thats how it works!
Zaidi ya hayo ajue wajibu wake kama mke! Awe na heshima na ajiheshim kama mke! Awe na akili kichwan na sio makalioni zaidi ya yote Awe mcha mungu!
Jua ni heri ukosee kujenga utabomoa ila ukikosea kuoa hamna rangi utaacha ona!
uko vizur mkuuWife material always she is acting to be mother always nd she just talk about development and your future she will ask about family plan nd what kind of life u prefer tokana na kipato chako na kamwe she will not talk about sex never na utaona dalili ingine zaidi kadri mnavokuwa mnaongea na usirubusu mahaba yazidi kwake na kuonana every time na some time si haba asipafahamu kwako atakuja na mipango yake kwako yote ukiwa muwazi atakwambia future yake na anataka nini
Mimi iko ivi mkuu;wewe unaejiandaa kuoa ni vp mkuu
adi mambo ya chama tenaMimi iko ivi mkuu;
1.asiwe ccm
2.asiwe anatoka chato
3.ajue kulima
4.ajue kusoma na kuandika.
Na zaidi ya hapo ukiruhusu sex na mwana mke unae tarajia kuoa hautopata thamani ya huyo unaeenda kuoa kwani tayari either value yake huenda perfomance ikawa low na ukamdhalau na pindi ukaikuta iko juu ikasema atakuwa malaya maana kwa perfomance yake haiwezekani hivo kuoa ni jambo gumu na rahisi ukilipa heshima yake ndugu zanguuko vizur mkuu
Ndio mkuu, asije niimbia nyimbo zao zile.adi mambo ya chama tena
yeah nimekuelewa san mkuuNa zaidi ya hapo ukiruhusu sex na mwana mke unae tarajia kuoa hautopata thamani ya huyo unaeenda kuoa kwani tayari either value yake huenda perfomance ikawa low na ukamdhalau na pindi ukaikuta iko juu ikasema atakuwa malaya maana kwa perfomance yake haiwezekani hivo kuoa ni jambo gumu na rahisi ukilipa heshima yake ndugu zangu
Mkuu, hapo ulipochomoa kama amebakia mdogo wake tuwasilianeKama mpenzi wangu hivi:
1.Ananipush kujijenga zaidi.
2.Hanibughudhi kuhusu pesa,nampa kwa upendo tu ikibidi ni expensive presents na outings,na reciprocate upendo.
3.Ananipa backup kwenye mitikasi yangu ya kimaisha. Nikikwama ananitoa, mi pia namtoa hali ikiwa tight.
4.Kwenye majanga she is my first, mfano: nimedakwa na ma poti ananiwekea dhamana and shit! Nikumwa anajiongeza.
5.She gives me a husband treatment, msafi mno na mpishi mzuri sio mvivu at all.
Truu mkuuKama mpenzi wangu hivi:
1.Ananipush kujijenga zaidi.
2.Hanibughudhi kuhusu pesa,nampa kwa upendo tu ikibidi ni expensive presents na outings,na reciprocate upendo.
3.Ananipa backup kwenye mitikasi yangu ya kimaisha. Nikikwama ananitoa, mi pia namtoa hali ikiwa tight.
4.Kwenye majanga she is my first, mfano: nimedakwa na ma poti ananiwekea dhamana and shit! Nikumwa anajiongeza.
5.She gives me a husband treatment, msafi mno na mpishi mzuri sio mvivu at all.
Acha rohombayaDah..... Guys..... You'll never get married...... Labda mkifikisha 60yrs kama mnafikiri Kwa mtindo huo.....ndoa ni kama mkondo wa mto...ni dynamic .. Unaogelea kadiri maji yanavyotiririka.... Msidanganyane