Una haraka na bao la kwanza?! Unaogopa kupata Mimba?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Wakuu Mambo?

Ni Jumamosi nyingine tena imewadia ambapo kama kawaida natoka na "fact" na leo ni ukweli kuhusu bao la kwanza.

Ni ruska kuliachia liwahi na huwa linautamu wake wa zaiada kutokana na kuwahi kwake kuja hivyo usinune na usimuite mwenzio "one min man" hilo moja.

Pili bao la kwanza huwa lina nguvu sana na la moto pia lina afya na usipokuwa makini unaweza ukapasukiwa Condom au Condom kusukumwa ndani (mbele zaidi) hali itakayosababisha ibaki ndani baada ya uume kutolea nje ya uke (yaani condom inabakina uume unatoka mtupu) hali inayoweza kupata faida na hasara hapo.

Hasara yake ni kuambukizwa gonjwa la zinaa au kupata mimba bila kukusudia/panga.

Faida ni kumimbika kirahisi kama unampango huo.

Hivyo wewe kama muoga wa "kumimba" au "kumimbwa" basi ni vema au muhimu kuliepuka bao la kwanza kwa kukubaliana na mwenza kulimaliza nje kama vipi liishie kwenye "ngono ya mdomo" alafu mengine ya fuatie mumo kwa humo.

Sikutumi ukafanye bila kinga baada ya bao la kwanza hapo! Najaribu kukuambia tu kuwa ni bao pekee lenye afya, nguvu na muhimu sana kama mnasaka kumimbana kirahisi......

Hakika mabao mengine pia unaweza kupata mimba ila sio kirahisi sana kama lile kwa mwanzo, nazungumzia bao la kwanza baada ya kutotombana kwa muda mrefu like 3days to miaka fulani hivi.

Mwisho mwema wa wiki.
 
Ngono itakuua, majuto mjukuu mwanangu, achana ngono subiri uoe na uwe mwaminifu kwa mwenzi wako!!
 
Wengine tunapiga bao moja tuu,pia ngumu kukojoa kama jamaa hajameswa na mwenzake,itakuaje?
 
Haya wakubwa.. Ila nasikia la kwanza lina high concentration of matured sperms kwa hiyo hata ile kitu kutunga inakuwa rahisi.
 
Mkuu Mzizi kwa kizazi hichi cha chips na biscuit kutwa mzima akipiga bao moja la pili mpaka masaa 20 yapite sasa si utawachuza wepige nje then wakitaka waende la pili mtalimbo umelala doro.
 
Hebu ihamishwe haraka!!! Haraka sana!! Bao la kwanza mdomoni hivi hizo sindano za Tetenas uko tayar hujui meno ya mtu ni kama ya umbwa mwny kichaa. Mi napita naenda kwa mjomba
 
Wakuu Mambo?

Pili bao la kwanza huwa lina nguvu sana na la moto pia lina afya na usipokuwa makini unaweza ukapasukiwa Condom au Condom kusukumwa ndani (mbele zaidi) hali itakayosababisha ibaki ndani baada ya uume kutolea nje ya uke (yaani condom inabakina uume unatoka mtupu) hali inayoweza kupata faida na hasara hapo.
.

You are kidding! joto la sperms kupasua condom? condom hizo zimetengenezwa wapi? ziko sababu nyingi zinazopelekea kondom kupasuka lakini temperature ya sperms ndio kwanza nakusikia wewe, na nina hakika kuwa uko wrong 100%
 
Back
Top Bottom