Ni wapi sasa ambapo UN imehusishwa na madawa ya kulevya? Hapa ninachokiona mimi ni kwamba kuna watu wamejaribu kutumia jina la UN kusafirisha madawa ya kulevya na si kwamba UN inahusika na madawa hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.