UN iingilie haya yanayotokea Tanzania, wasingoje mambo yaharibike

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Kuna mambo yanatokea Tanzania ambayo kwa kweli watu watashindwa kuyavumilia muda c mrefu

Nashauri UN ibadili kanuni zake za kutoingilia mambo ya ndani ya nchi mwanachama kanuni hizi ndio zinafanya viongozi wa afrika wafanye watakavyo halafu wana intervin too late watu washachinjana

Narudia tena UN iingilie haya yanayotokea tz wasingoje mambo yaharibike
 
kwani Tanzania kuna tatizo gani mpaka waingilie kati wakubwa? hapana tuko shwariii kabisa mengine ni ukomavu tuu
 
Fafanua vzuri
Kuna mambo yanatokea Tanzania ambayo kwa kweli watu watashindwa kuyavumilia muda c mrefu

Nashauri UN ibadili kanuni zake za kutoingilia mambo ya ndani ya nchi mwanachama kanuni hizi ndio zinafanya viongozi wa afrika wafanye watakavyo halafu wana intervin too late watu washachinjana

Narudia tena UN iingilie haya yanayotokea tz wasingoje mambo yaharibike[/QUOTE
Fafanua vzuri tuelewe hoja yako. Waingilie kati kupiga kura, kudhamin kampeni, kusimamia ama kushinikiza mabadiliko ya sheria ya tume ya Uchaguzi. All in all Watanzania wameridhika na hali zao hizo pressure na kelele na watu wachache mitandaoni na wasela mavi wa vijiweni zisitufanye vipofu wa kudhani kwamba Vyama vya Upinzani Nchini kwetu vimewekeza kuweaza kuwafikia Wananchi wote has huko Vijijini. Utatoa povu lkn nakwambia huko Pembezoni hizi drama zetu za Mitandaon, Luningani nk kwao ni sawa na bure wao wanaijuw Kijani tuuuu. Tuwekeze jamani HIVI MPAKA LEO CHADEMA haina JENGO LA OFISI ZA MAKAO MAKUU WHY?? HILI NALO TUITE UN?? TUKIULIZA OOOH MAMLUKI OOOOH WASALITI? Hata hao wagombea Ubunge kama huna Mjengo kwenye Jimbo husika hulambi ng'oooo! Sasa iweje CDM anataka jimbo la Tanzania hana hata Kiwanja huko Tanzania are they serious jaman somtym tuache utani mjue. Hizo ni deal za Vijana kupiga pesa wengine mtaendelea kutumika kuvunjwa nyonga ili proposal za fedha zipate kick kwa Wafadhili pesa Ikuje. Waitor leta Safari Lager kwanza ntaendelea badae
 
unadhani ni rahisi hivyo na unadhani Waafrika ni wajinga kiasi hiko!?? Ukijifanya unataka kukuingilia watasema Afrika inajitoa UN tunabaki na AU tuu basi,utafanya nini!?
 
Kuna mambo yanatokea Tanzania ambayo kwa kweli watu watashindwa kuyavumilia muda c mrefu

Nashauri UN ibadili kanuni zake za kutoingilia mambo ya ndani ya nchi mwanachama kanuni hizi ndio zinafanya viongozi wa afrika wafanye watakavyo halafu wana intervin too late watu washachinjana

Narudia tena UN iingilie haya yanayotokea tz wasingoje mambo yaharibike
Kama hawaingilii Burundi, Rwanda na Uganda, hapa kwetu sahau.
 
Haohao wakoloni/wazungu bila damu kumwagika hawawezi kutoa msaada.

Moja ya mifumo yao kwa nchi hasa za Afrika ni kuona maganda ya risasi, damu, mizoga ya binadamu ikiwa imetapakaa ovyo ndipo wanakuja.

Kama hawataingilia Kati hawa jumuiya za kimataifa wasije baadae damu ikimwagika.Upo muda tu watanzania watasema basi inatosha.
 
unadhani ni rahisi hivyo na unadhani Waafrika ni wajinga kiasi hiko!?? Ukijifanya unataka kukuingilia watasema Afrika inajitoa UN tunabaki na AU tuu basi,utafanya nini!?
yaani tz ijitoe UN thubutuuuu..." watakuwa ndio wamejichongea mauti
 
Kuna mambo mazito kwenye uchaguzi nilivyosimuliwa, sitaki kupiga kura tena. Hivi mnadhani kujipanga mistari na kupiga kura ndizo zinahesabika?? Mtajua nikiwa nilisha kuwa mavumbi
 
Back
Top Bottom