Umuhimu wa "Mentor" katika biashara

Sawa lakini a mixture of them inaweza kutoa mafanikio mapema. I am just thinking aloud unaonaje?
Vitabu kazi yake ni kukupa ufahamu. Ndio maana ni muhimu kuangalia mwandishi wa kitabu anaongelea nadharia au kuna na experience yake ndani. Pia ni vyema kuchagua vitabu ambavyo ni halisia kuliko "motivational".

Kwa hiyo unahitaji mlezi kwa ajili ya kukulea Ukue. Vitabu ni sehemu ya mchakato wa kukua. Kama ambavyo una Mama/Baba/.. na unakula chakula.

Kwa hiyo, ni kweli kuwa vyote ni muhimu! Ila ukiwa na mlezi mzuri ni bora zaidi kwa kuwa atakusaidia hata vitabu vizuri vya kuanza navyo!
 
Stefano Mtangoo,
Ni kweli nakubaliana na hoja hiyo, lakini kama humpati huyo MENTOR unafanyaje na wewe unahitaji kutoka kupitia biashara fulani? Hiyo ndiyo hoja. MENTORS hawapatikani unajikwamuaje mwenyewe?
 
Ni kweli nakubaliana na hoja hiyo, lakini kama humpati huyo MENTOR unafanyaje na wewe unahitaji kutoka kupitia biashara fulani? Hiyo ndiyo hoja. MENTORS hawapatikani unajikwamuaje mwenyewe?
Mentors wapo ingawa inabidi uwatafute sana. ukiwakosa, Inawezekana tatizo likawa kwa mtafutaji. Kuwa mwanafunzi wa mtu inahitaji unyenyekevu wa kutulia, kusikiliza ulichoambiwa na kukifanyia kazi hata kama hukipendi.

Nadhani hapa kwetu (sijui kwingineko sana) watu wako too ambitious kuweza kususbiri na kukaa chini ya mtu. Wengi hudhani mentor ni mtu anayekusaidia tu biashara zako zisiyumbe kwa kukushauri. Huyo sio mentor ni consultant. Mentor ni mkufunzi unayekaa chini yake, na akiona vyema anaweza kukuweka ufanye kazi chini yake au kwa mtu mwingine kama akiona itakukuza katika unachokitaka.

So kwa sababu mostly tunatafuta waalimu na washauri (teachers and consultants) tunakosa mentors.

Kama huna mentor haimaanishi huwezi kuendelea ila jiandae kufeli pale ambapo mlezi angekusaidia kukwepa mtego au shimo. Utahitaji kujifunza zaidi, kwa trial and error na kwa umakini zaidi. Kwa sababu utakosea sana na pengine kugharimika sana, basi ukienda solo uwe mvumilivu sana
 
Huu uzi ndo resolutions zangu twenty twenty
1.quit social media..am nw a you tuber! Nimefanikiwa kwa jf kwa 90%
2.kusoma vitabu walau page 1daily..( Veronica must die)
3.my mentor nadhan ni centonomy na TEDx series!

...its not scary as it looks!√
sio sosho midya zote za kuquit,,,sasa ungekuwa umekwit JF unafikiri hii post ungeionaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stefano Mtangoo, asa ukifanya biashara tofauti bado atakuwa ni menta wako tena? yaa yy anauza vipuri vya magari, ww ua kibanda cha tigopesa je atakumenta kvp sasa....maana inabd akushike mkono along the way kwamba labda ukitaka upate kamisheni mzur fanya hv na hv sasa kama yy hafany hiyo biashara how can he coach yu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ndo resolutions zangu twenty twenty
1.quit social media..am nw a you tuber😊! Nimefanikiwa kwa jf kwa 90%
2.kusoma vitabu walau page 1daily..( Veronica must die)
3.my mentor nadhan ni centonomy na TEDx series!

...its not scary as it looks!√

Channel yako youtube inaitwaje tukuongezee views na subs.
 
Back
Top Bottom