JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,890
- 1,126
Nawaamusha nyinyi muliolala mkiona chama fulani ndo mkombozi wa yote!
sasa hapa jf unafanya nini?
sasa hapa jf unafanya nini?
Utayakaza macho yako na hautaona milele...tumia utashi na akili za bure kung'amua na utapata jawabu kuwa kipo,nacho ni M4C...
Nawaamusha nyinyi muliolala mkiona chama fulani ndo mkombozi wa yote!
Aisee hapo nakuunga mguu kabisa.hatuna chama mbadala cha mageuzi tz
Badala ya kuhubiri kushindwa kwao bila wazo ya jinsi gani kuboresha, basi labda ungeinuka. Manake kazii hii inakuhusu pia. Unaonaje ukaanzisha chama chenye mtazamo wa kumkomboa mtanzania mzalendo na kuleta tangible results?
What is the way forward?
Tuanzishe chama kipya, Tuboreshe vyama vilivyopo, tufute kabisa vyama vyote ama tufanyeje?
Tatizo nililoligundua kwako ni kuwa wewe ni mwepesi wa kukata tamaa pindi ukutanapo na changamoto katika harakati za kutaka kutimiza malengo yako,
Dawa ya changamoto si kuikimbia bali ni kukabiliana nayo ili uweze kuachieve your goal.
Usiamue kuwa mpagani eti kisa hakuna dini itakayokufikisha mbinguni/peponi kwa sababu tu umesikia kuna mashekhe au mapadri mashoga.
Simamia na kupigania unachokiamini, ukombozi wa taifa hili hautaletwa na viongozi wa vyama vya siasa bali utaletwa na watanzania wenyewe yaani mimi na wewe.
Acha kuzunguka mbuyu..! Hoja yako ni ya-kinafiki kuwa cdm haiwezi kumkomboa mtz, Endelea kutokuona!
Acha kuzunguka mbuyu..! Hoja yako ni ya-kinafiki kuwa cdm haiwezi kumkomboa mtz, Endelea kutokuona!
MKUU Mr. ABLE!
Tatizo la huyu jamaa, sio kukata tamaa. Ni wale watu wa "BORA KUMEKUCHA". Vinginevyo ndio wale watu wanao amini kwamba "SHETANI AKIZEEKA HUGEUKA KUWA MALAIKA".
Heri ya Mwaka mpya wana JF!
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania ndani ya vyama mbalimbali nimekuja kungundua hakuna chama chochote hapa kwetu Tanzania chenye uwezo na nia ya kumkomboa mwananchi (Mtanzania) na kumpa maisha bora na yenye neema.
Si CUF na si CHADEMA na wala si hawa CCM walioshindwa kabisa toka uhuru! Vyama vyetu vimejaa nyufaa. Na ndani ya vyama vyetu vyote kuna matatizo makubwa ya mifumo, uongozi, ufisadi, rushwa, ukandamizaji, unyonyaji na tamaa mbaya ya madaraka.
Hakika si rahisi kuwa na chama kikamirifu kwa asilimia mia moja,Tokea uhuru tumekuwa na chama kilekile hadi leo kama ni mtu amezeeka sasa na anahitaji kupumzishwa. Lakin kwa kundi kubwa la vijana tuweni makini na tusikubali kundanganywa na mtu au chama chochote kile cha siasa na kukiamini kuwa ndo mkombozi wetu, kikubwa na cha kuamini ni kupunguziwa matatzo, kuonja malezi ya baba (Chama) kingine na wala siyo kumaliziwa matatizo yetu kwa asilimia mia moja hii ni tahadhali tu.
Utayakaza macho yako na hautaona milele...tumia utashi na akili za bure kung'amua na utapata jawabu kuwa kipo,nacho ni M4C...