MAGAZETI ya Leo tarehe 5/5/2023 yameandika juu ya hafla ya kustaafu kwa majaji 3 wa mahakama kuu ya Tanzania, tunawapongeza kwa kulitumikia Taifa letu na tunawatakia maisha mazuri ya uraiani.
Jambo nililojifunza ni kwamba Majaji hao wanaonekana kuwa na umri mkubwa sana, nimejiuliza hivi Majaji huwa wanastaafu wakiwa na umri wa miaka mingapi?
Kwa kuzingatia kazi ngumu wanazozifanya nashauri umri wa kustaafu majaji upunguzwe uwe miaka 50.
Inaonekana Majaji wengi wamechoka kwa umri kuwa mkubwa lakini wapo kazini tu, idadi ya majaji wanaostaafu ni ndogo sana ukilinganiaha na idadi ya wazee waliopo makazini, jamani tubadilike, tuwapishe vijana.