Ummy Mwalimu relax, waamnie Wakurugenzi barua za ufafanuzi zinatosha. Fanya kazi matokeo yatakutenga na uongo

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
909
4,210
Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha .

Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake.

Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele kufafanua sana maana smartphone zina camera na hao jamaa wanaoandika wapo vijajini . Endelea kuchapa kazi usibishane nao wala kuwaandikia makaratasi meengiiii , watatafuta ulipokosea wapite hapo hapo. That's is politics and I predict some of them are your fellow CCM members.

Kufika 2025 nyota ikiwaka panahitaji sana kumtegemea Mungu na kutenda kwa kadri inavyotakiwa. All the best
 
Odo Ummy Onyo Na Tahadhali Limetolewa Tena Kikubwa Sana Hao Baadhi Yao Ni CCM
Inafutwa Nongwa Tunaelekea Chaguzi Mbili Kubwa.
 
Back
Top Bottom