Umeshafungua mabox mangapi?

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
X-MASS ndio hiyo imeshapita watu ndio wanaanza kuhesabu hasara na faida!
wewe umefungua mabix mangapi?
 
sina hata box moja....sijui nina mkosi gani wallah.......
 
hii boxing day ni kwa ajili ya kuuguza hang over au ku balance idadi ya siku za sikukuu kwa mwaka kati ya zile za dini nyingine ikiwemo ya wapagani na ya kikristo?
 
Hapo long time, boxing day nilikuwa nikidhan ni siku ya kupigana ngumi. Kumbe ...!
 
jana niltoa zawadi kwa watu kadhaa lakini mimi mwenyewe nimeambulia patupu.
 
Ukiona hivi jua hali ngumu jamani, saizi zawadi ni forwarded message, kazi kwisha....lol
 
Mpaka sasa hivi ni bila bila japo mi sichoki kutuma! Kuna zawadi ambazo nimezichelewesha kwa makusudi kwa sababu nataka mlengwa afungue nami nikiona, nitazipeleka masaa machache yajayo!!!
 
hivi hata mails kwenye inbox ya email na sms nazo tunahesabu?.............................??? .......................kama jibu ni no, basi nami nimeambulia patupu mwaka huu!!...................!!..............
 
mi sms zote za xmas nimezisoma leo kutokana sitarajii kupata zawadi yoyote ile zaidi ya sms..
 
[h=2][/h]
mie sijatuma wala sijapokea.....
ila bado nasubiria (kwikwikwi ingawa wanasema ukiwa mchoyo usiwe mroho...)

 
Dah nilikua mda wote cjapata zawadi but nashukuru mda c mrefu my lovely dady kanigea kijikasha flan ndan yake nimekuta heren,am so happy mwenzenu!
 
hivi hata mails kwenye inbox ya email na sms nazo tunahesabu?.............................??? .......................kama jibu ni no, basi nami nimeambulia patupu mwaka huu!!...................!!..............

kwa ishu ya sms mwaka huu tofauti na mwaka jana maana last yr mpaka simu yangu ikajaa sms best wishes ila mwaka huu zakuhesabu sijui huko kwetu tz ni kama hapa bujumbura now.
 
Dah nilikua mda wote cjapata zawadi but nashukuru mda c mrefu my lovely dady kanigea kijikasha flan ndan yake nimekuta heren,am so happy mwenzenu!

Furahia mwaya as long as wakupendao wanaonyesha kukujali Cantie!! Btw, na mi pia bado nategemea yale mambo yetu kutoka Moshi!! Lolz!
 
Mi sijui nuksi hata box moja sina even msg, ngoja kwanza nihesabu loss
 
nilipata box moja,
nimeifungua leo,
ndani kuna chupa tatu za mvinyo
na kopo la viungo vya pilao,
walau namshukuru MUNGU nimepata zawadi kwenye hii hali ngumu ya uchumi,
japo mvinyo nitagawa situmii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom