Umeona eeh anatutega

kutegwa ndo huku?

huku ni kutangaza biashara[/QUOTE
hawajui kutega hawa!kutega kunataka mtu aspeculate things like nikifunua pale kuna nini yailahi!nikigusa pale nakutana na nini?sasa hapa kila kitu nje hivi ah!

Muwafundishe...hawa wadogo zenu
kila kitu kiko wazi sasa huwezi hata kuwa curious...
sanasana kama umewahi ona better design unachefuka tu...
 
77484]
530130_375941362476641_2141755991_n.jpg
[/QUOTE]

Kwa SAMBA huyo balaaa....
 
Vijana oeni UKIMWI utawamaliza. Mwanaume wa kweli na aliye busy na shughuli zake hawezi kutegwa na lady ambaye ni liability. Mwanaume wa kweli hutegwa na hela, majumba na magari siyo hawa viruka njia

Umetisha jombaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom