Umeme wa nguzo

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
mbunge anaposhangilia kuwekwa nyaya na nguzo, ati kwamba umeme utawaka, ilhari waliokwishalipa umeme kupitia mashine za luku kabla ya huduma wanalia na mgao usiokwisha.
Mbunge huyo anasifia kweli serikari.
Hii nayo ni kasheshe ya kitaifa.
 
Anajaribu kulipa fadhila kwa waliombeba hadi kuwa mbunge.
Kama si hivyo basi akili yake ina mushkeli kidogo
 
mmmh! ana ugonjwa huyu mtu! lakini sishangai, wanajittahidi kutimiza ahadi walizoahidi miaka kumi iliyopita wakati umeme ulikuwa unatosha TZ nzima!
 
Back
Top Bottom