MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
Guys
Kitu gani mpaka leo umejifunza katika ulimwengu wa kimahusiano/mahusiano na kimekuwa somo kubwa sana unahitaji kizazi kijacho wajifunze katika hilo.
Nimejifunza kwenye mapenzi kuna usaliti ,usiwekeze asilimia kwenye mapenzi.
Usipokuwa makini unaweaza kumchukia kila kiumbe ukionacho mbele yako?