Umefika Wakati wa Warioba Kunyang'anywa Kadi ya Uanachama na CCM?

Wewe utakua na uchungu na ccm zaidi ya Mzee Warioba?wewe ccm inakusaidia nini ktk maisha?hujui kuwa Mzee Warioba anapata mafao yote ya umakamu wa kwanza wa rais lakini bado anazungumza kile kilicho moyoni mwake.Tatizo mmezoea kudanganya na msanii mwenzeni ohhh nitaileta timu ya Real Madrid mnakenua tuu
Ili usukume gari ambayo haiwaki lazima utoke nje ya gari ndio usukume litaenda!
 
MTOA MADA kwanza nashukuru kumbe hoja nzur za warioba ni hoja za ukawa? sasa kwann tusijiunge na hao ukawa maana hoja zao nizakikomboz na zina maslah kwa taifa.niwatahadharishe wananchi kuwa CCM wanatutoa kwenye hoja za IPTL ,BoT na rada ambavyo vimefanya wahisan kususia kutoa misaada .sasa habar ya mjin ni fujo za mdahalo wa kigoda cha mwalimu nyerere
 
Katiba ya nchi sio sera ya chama. Nenda kajipange upya uje na sababu nyingine.
Wakuu,
Hakuna ubishi kwamba wanachama wa vyama mbalimbali vya Siasa wanapoenda kinyume na sera za vyama vyao hunyang'anywa kadi za uanachama na hatimaye hujiunga na vyama vingine.

Hata hivyo wengine wamekuwa wakitumia Mahakama ili kupinga kunyang'anywa kadi zao za uanachama.

Mifano:
1. David Kafulila,
2. Zitto Kabwe,
3. Hamad Rashid Mohamed,
4.....

Kwa kuwa Warioba naye amejionyesha wazi kuwa anatetea Sera za CUF/CHADEMA na ndio maana midahalo mingi anayoandaa yeye wanachama wa vyama hivyo huiandaa, nafikiri umefika wakati umefika wa Warioba kunyang'anywa kadi ya uanachama wa CCM ili akafanye kazi yake vizuri!

Ya nini kujifanya huli nyama ya nguruwe wakati unakunywa mchuzi wake?

Mwana-UKAWA Warioba kajiunge tu na People's Power/Haki Sawa kwa Wote, kule kuna Red Brigade na Blue Guard angalau usije ukang'olewa macho na wananchi nje na wale ambao ulichukua maoni yao!

Otherwise, CCM wachukue kadi yao ili mzee avae kombati!

Nawasilisha kwa mjadala zaidi!
 
Buchanan,
Nadhani kuna wakati mnajisahau kuwa Warioba anaelimisha watanzania wote na ambao wengine hatuko ktk chama chochote cha siasa.

Katika si mali ya chama chochote cha siasa. Ila kwa kuwa mmeipoka toka kuwa ya watanzania na sasa kuwa ya chama tawala ndiyo maana umesema hayo uliyosema. Wananchi watakapo kwenda kupiga kura si ni vyema wakijua wanakubali au wanapinga nini?!! Mimi mpaka hapo sioni tatizo wakiielewa katiba yao.

Wakati chama chako kilipotoa tamko la kuzuia wggombea wa Urais wasianze kutangaza nia zao. Ni nyiyi mliopinga kuwa hakuna ubaya kama wananchi wakiwafahamu mapema ili wapate muda wa kuwajua na kuwachuja. Sasa kwenye suala la rasimu tatu ya katiba, Warioba anaonekana ametenda dhambi!!!
 
Wewe Buchanan, jee una mfano wo wote wa mwanachama wa CCM hasa mwandamizi aliyewahi kunyang'anywa kadi ya uanachama? CCM ina taratibu zake za kuwashughulikia watu kama hao ili kuwarekebisha. Hii ni pamoja na kuwapatia ushauri nasaha pale Lumumba, Mirembe na hata India. Hata kile mlichokiona jana pale Ubungo plaza ni mbinu mojawapo ya kuwarekebisha. Chezea chama kikongwe wewe!
 
Ilitokea Zanzibar hivi majuzi, naona umesahau mkuu!
 
Wakuu,
Hakuna ubishi kwamba wanachama wa vyama mbalimbali vya Siasa wanapoenda kinyume na sera za vyama vyao hunyang'anywa kadi za uanachama na hatimaye hujiunga na vyama vingine.

Hata hivyo wengine wamekuwa wakitumia Mahakama ili kupinga kunyang'anywa kadi zao za uanachama.

Mifano:
1. David Kafulila,
2. Zitto Kabwe,
3. Hamad Rashid Mohamed,
4.....

Kwa kuwa Warioba naye amejionyesha wazi kuwa anatetea Sera za CUF/CHADEMA na ndio maana midahalo mingi anayoandaa yeye wanachama wa vyama hivyo huiandaa, nafikiri umefika wakati umefika wa Warioba kunyang'anywa kadi ya uanachama wa CCM ili akafanye kazi yake vizuri!

Ya nini kujifanya huli nyama ya nguruwe wakati unakunywa mchuzi wake?

Mwana-UKAWA Warioba kajiunge tu na People's Power/Haki Sawa kwa Wote, kule kuna Red Brigade na Blue Guard angalau usije ukang'olewa macho na wananchi nje na wale ambao ulichukua maoni yao!

Otherwise, CCM wachukue kadi yao ili mzee avae kombati!

Nawasilisha kwa mjadala zaidi!

...Binafsi warioba namuona kama mzalendo wa kweli na si selfish kama viongoz wengine, kama mwl j.k alvyosema"ccm si mama yngu " nae warioba ccm c mama yke.
Ni bora Tanzania iwepo kuliko ccm. Mfano mzur Kenya, KANU imekufa haina nguvu tena lakn Kenya na Wakenya wapo, so ndugu yang achana na uwezo mdogo ulionao wa kufkr
 
Baadhi ya Vyama vina Sera ya Muundo wa Serikali 2, 3 na Mkataba!
Naona unachanganya mambo. Katiba ya nchi sio sera bali makubaliano wananchi wanayoafikiana kiutarabu namna watakavyoendesha nchi yao. katiba ile ya CCM ndiyo mali yenu. Hii anayoipigania Warioba na wananchi wengine ni mali yao, hivyo wanaweza kuijadili muda wowote wanaotaka bila shurutisho wala pingamizi. The constitution of the country is written by the people for the people and not by CCM for the people.
 
Wakuu...Kwa kuwa Warioba naye amejionyesha wazi kuwa anatetea Sera za CUF/CHADEMA na ndio maana midahalo mingi anayoandaa yeye wanachama wa vyama hivyo huiandaa,

???... Ukisikia utawala wa nchi hii umekamatwa na watu waliochanganyikiwa, Buchanan ni mfano halisi.
 
Naona unachanganya mambo. Katiba ya nchi sio sera bali makubaliano wananchi wanayoafikiana kiutarabu namna watakavyoendesha nchi yao. katiba ile ya CCM ndiyo mali yenu. Hii anayoipigania Warioba na wananchi wengine ni mali yao, hivyo wanaweza kuijadili muda wowote wanaotaka bila shurutisho wala pingamizi. The constitution of the country is written by the people for the people and not by CCM for the people.
Mkuu,
Hiyo katiba unayodai wengine wanataka Sera zao ziingizwe humo ndani!
 
Back
Top Bottom